Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo jamaa anayetembea na mtoto ni mbakaji sio danga.Lakini wakati huo unakataa kumuozesha kwa kuofia kumkatiri yeye ameshakuwa danga wa lijamaa lenye umri kama ww haaaaa dunia hii ni changamoto.
Exactly!Kuna badhi ya vitu ndani ya Quran na Biblia havipaswi kufatwa.
Unamaanisha watoto wote wamalizao la Saba huenda sekondari?Mtaani mzazi ambaye ana mtoto ambaye ana umri wa kwenda shule afu mtoto anashinda tu nyumbani, serikali kupitia ma afisa elimu waliunda operation kabambe ya kamata kamata waliwatia jela hao wazazi wakanyea makasha siku kadhaa kisha waliporudi makwao walikuta watoto wako shule.
Pengine mtaani kwako viongozi wa juu kama afisa elimu ni masheikh wanounga mkono itikadi kama hizo na ndio maana mambo kama hayo yanaendelea
Niliku namjibu bibi Faiza amesema ikiwezekana hata miaka 12 waolewe, hata huvyo 14 bado ni watoto na hawajamaliza hata masomo ya sekondariNimeona imeandikwa miaka 14,we 12 umetoa wapi!?
Nadhani ungemjibu hoja yake bila kupanic hao mabinti mnao sema ni wadogo huku mitaani wanafanya ngono na watu wazima wenye umri kama wa kwako, mm nadhani hoja yake iko hapo.Ni wapi pamesemwa kwamba waendelee kungonoka? Such a mere reasoning to justify child marriage.
Hizi ni sheria za kishenzi kwa watoto wa maskini na kuendelea kuzalisha taifa la watu mizigo wasio na tija kwa taifa.
Waislam wengi wamekosoa huu upuuzi.
Muislam anayeunga huu ujinga namuona ni mshenzi tu.
[emoji2][emoji2][emoji2] hili linahitaji ufafanuz asee naona linazungumziwa sanaMzee wa papuchi mwenyewe alioa mtoto wa miaka tisa.
Ao watu wa mnyazi wanachowaza ni mbususu tu na namna ya kuzichakata
zikiwa za motomoto.
Ndio akili zao zilipoishia mkuu wala usishangaehawa wenzetu shida sana 😃
Yaani imagine mtu mzima tena kiongozi wa dini anahalalisha ujingaMmmh, hizi dini hizi. Kwaiyo sheikh mwanae akivunja ungo na miaka tisa anamuozesha
Qur'an haijavainisha umri wa kutoa, imesema tu oeni wema katika wanawakeVipo vingi, na hiki kikiwemo
Sisapoti binti mdogo kufanya ngono, ila kuna tofauti Kati ya kufanya ngono na kuwa mke wa mtu…kuwa mke wa mtu kuna majukumu mengi kuliko kufanya hicho kitendo….mtoto anaeza kuhimili kitendo lakini sio majukumu ya ndoa na familia na swala la uzazi kwa ujumlaNadhani ungemjibu hoja yake bila kupanic hao mabinti mnao sema ni wadogo huku mitaani wanafanya ngono na watu wazima wenye umri kama wa kwako, mm nadhani hoja yake iko hapo.
Kama mnazuia wasiolewe kwa sababu ni wadogo pia zuia wasifanye ngono za kiholela.
mimi huwa nachukia hata tunavyojifanya tumeungana nao 😵Ndio akili zao zilipoishia mkuu wala usishangae
Uwezo wenu wa kusoma/sikiliza ni finyu/duni,kasome Tena hiyo ripoti ya bakwataYaani imagine mtu mzima tena kiongozi wa dini anahalalisha ujinga
it’s too sad kwakweli, hajafikiria hata huyo mtoto wa miaka 14 atazaa vipi mtotoYaani imagine mtu mzima tena kiongozi wa dini anahalalisha ujinga
Wewe umeona mzazi gani au mwanajamii gani anafurahia au anahamasisha mwanae afanye ngono? Tena jamii za Pwani ndiyo zinawa expose na kuwajengea mazingira ya ngono watoto kwa tamaduni zao.Nadhani ungemjibu hoja yake bila kupanic hao mabinti mnao sema ni wadogo huku mitaani wanafanya ngono na watu wazima wenye umri kama wa kwako, mm nadhani hoja yake iko hapo.
Kama mnazuia wasiolewe kwa sababu ni wadogo pia zuia wasifanye ngono za kiholela.
Haaa mkuu mbona kama vile unajifanya mgeni hapa nchini?Huyo jamaa anayetembea na mtoto ni mbakaji sio danga.