BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Utakuta mtu msomi kama Prof Assad na yeye anaunga mkono huu upuuzi, ila yeye mabinti zake, mpaka wa umri wa miaka 30 wapo nyumbani au wanajitegemea na mzazi Wala hawakazimishi kuolewa, anawapa msaada wajikuze kielimu na kifedha.

Hizi sheria za bakwata ni kwa mabinti wa familia choka mbaya tu,Ili kuvipiga pipe vibinti vyao,visivyo na akili, vinawekwa ndani, kazi yao ni kuoga, kupika, kujiremba na kutembezewa rungu tu! na akikutana na Basha kama mie, mpaka msambwanda unaliwa
Kwamba bakwata wamezungumzia kulazimisha mabinti kuolewa!!
 
Ni kweli wote wanaomaliza la Saba(miaka 14) huendelea na masomo!?..wanaokwama kusoma wafanyeje!?..wapate uzoefu wa ngono mitaani mpaka watapofika miaka 18!?
Kwa hiyo waolewe? Ndio suluhisho halaf
 
Yaani mtu amesoma sheria mpaka kuwa mwanasheria mkuu wa Bakwata haoni aibu kuongea Upumbavu kama huu...?...anajua mtoto wa miaka 14 alivyo? Kweli ataweza kubeba majukumu ya kuwa mke achilia mbali kuwa mama? Na shule je?.

Aisee...inasikitisha sana.
Mwanamke ni kiumbe cha ajabu sana,huyo miaka 14 akiolewa utashangaa anavyobadilika na anayamudu vizur tu majukumu yake hata akiwa na watoto anawatunza vzur tu na biashara wanafanya za kukizi mahitaj ya familia

Kiumbe ke usikichukulie poa
 
Wakati TEC Wanapendekeza Viongozi waondolewe Kinga ya kutoshitakiwa, yaani wote tuwe Sawa Mbele ya sheria, Hawa wenzetu wanapendekeza watoto wa miaka 11, 12 ,13 ,14 waruhusiwe kuolewa, kupanga ni kuchagua ......
Wataka sema kina fulani hawana akili?

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kuoa na kumuingilia ni vitu viwili tofauti,hata chini ya hapo mila za zamani walioa kabla ya Sheria za ubakaji.

Walioa wakiendelea kuishi kwa wazazi wao hadi umri uliporuhusu wa kuingiliwa ndipo wakaenda KWA waume zao.

Walichumbia kwa tafsiri ya kuoa.
Huwezi muingilia binti wa miaka 9 itaingia vipi sasa.
Kabla ya shule miaka 14 waliolewa vijijini.
acha uongo ili kuficha aibu ,Aisha( R.A) aliolewa akiwa na miaka 6 na alianza kuingiliwa na mtume akiwa na miaka 9
 
Back
Top Bottom