FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Inahusu nini kuolewa kwangu, wakati hapa inaongelewa sheria ya nchi na sheria ya dini.
Kwani sheria za nchi zilitazama nani kaolewa lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanamke yupo Kwa ajili ya kufuata maelekezo. Under traditional rules mwanamke hana ndoto badala yake anatimiza ndoto za mwanaume wake.Miaka 14 unapanga naye nini maisha?
Sana.Yaani mtu amesoma sheria mpaka kuwa mwanasheria mkuu haoni aibu kuongea Upumbavu kama huu...?...anajua mtoto wa miaka 14 alivyo?...kweli ataweza kubeba majukumu ya kuwa mke achilia mbali kuwa mama?...na shule je?.
Aisee...inasikitisha sana.
Huenda Bwakwata ya leo iko vijijini. Ila concept ya kuolewa ni pana. Kama kweli muoaji ana uhakika wa kumtunza miaka mingi ijayo.Kuoa na kumuingilia ni vitu viwili tofauti,hata chini ya hapo mila za zamani walioa kabla ya Sheria za ubakaji.
Walioa wakiendelea kuishi kwa wazazi wao hadi umri uliporuhusu wa kuingiliwa ndipo wakaenda KWA waume zao.
Walichumbia kwa tafsiri ya kuoa.
Huwezi muingilia binti wa miaka 9 itaingia vipi sasa.
Kabla ya shule miaka 14 waliolewa vijijini.
Hatari sana.Naunga mkono hoja
Bikra siku hizi ni zakutafuta Kwa tochi
Labda tutaziwahi
Thus Wanataka aolewe fasta akiwa bikra kabla bodaboda awajafungua njiaHuenda Bwakwata ya leo iko vijijini. Ila concept ya kuolewa ni pana. Kama kweli muoaji ana uhakika wa kumtunza miaka mingi ijayo.
Waislamu wanaona ni vibaya mno kwa mtoto wa kike kuwa malaya. Ila wa kiume kuwa muhuni hawazingatii sana.
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limependekeza kifungu cha Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kinachoruhusu msichana wa umri wa miaka 14 kuolewa kwa amri ya mahakama kisiondolewe.
Akitoa maoni hayo Mwanasheria Mkuu wa BAKWATA, Hassan Fatihu alipowasilisha mapendekezo kwa Tume ya Kuangalia
Exactly. Sure..Thus Wanataka aolewe fasta akiwa bikra kabla bodaboda awajafungua njia
Utakuta mtu msomi kama Prof Assad na yeye anaunga mkono huu upuuzi, ila yeye mabinti zake, mpaka wa umri wa miaka 30 wapo nyumbani au wanajitegemea na mzazi Wala hawakazimishi kuolewa, anawapa msaada wajikuze kielimu na kifedha.Bakwata wao akili zao zimeishia kwenye mbususu na talaka,sasa wanataka hadi vitoto vidogo vipelekewe moto kama alivyofanya mtume wao,abusrd
Unajua unachokiongea laknSikubalian nao kabisa binti wa 14 ni ubakaji wa watoto tena wafungwe maisha
Watoto wahimizwe kusoma ili kuondoa ujinga kichwan na sio kuwaza waolewe tu ndoa zenyewe
We umesema kweli ni vitoto vya maskin matajiri hugusi mtoto waoSasa mtoto wa kwako,unasubili upewe kibari na mahakama,bakwata Ili aolewe!
Kwanza hakuna waziri, mkuu wa wilaya, mkoa, mtumishi wa umma,mwenye uchumi wa kati anayeweza kuoza mtoto wake wa miaka 14!hata 18!, umri huo mtoto Bado yupo chuo kikuu,au secondary,wale wa kishua ndio kwanza Bado anqcheza video game nyumbani!...