nana_
JF-Expert Member
- May 17, 2021
- 675
- 1,516
Kwa mujibu wa BAKWATA, mtoto mwenye umri wa miaka 11, 12 au 13 aliyeingia kwenye kipindi cha balehe aruhusiwe kuolewa kwa uhalali wa mahakama utakaozingatia vielelezo vya kimazingira. “Mtoto wa kike ana miaka 11, 12 hajaendelea na elimu, kwa nini asiolewe? Ukimuacha huyu ni matokeo ya kupata mimba mtaani.
wewe umesoma hapo????? Embu nielewesheUwezo wenu wa kusoma/sikiliza ni finyu/duni,kasome Tena hiyo ripoti ya bakwata