BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Miaka 14 vinafanya ngono zamani sana.
kwa hiyo viendelee kungonoka ila kuolewa ndio Nyeti

Nadhani ungemjibu hoja yake bila kupanic hao mabinti mnao sema ni wadogo huku mitaani wanafanya ngono na watu wazima wenye umri kama wa kwako, mm nadhani hoja yake iko hapo.

Kama mnazuia wasiolewe kwa sababu ni wadogo pia zuia wasifanye na kiholela.
Mtoto wa 14 yrs hata qjipange barabaran kujiuza hatakiwi kulaumiwa na suluhisho sio kumnyima haki yake ya kuwa mtoto kwa kumuoza.Lawana ziende kwa wazazi/walez na hao wanaume mafiraun wanataman watoto.
 
nchi gani? Sema dini sio nchi
Kumbe hata mada hujasoma ,bali umesoma kichwa cha habari na kukimbilia likoment .

Alafu hujui hata sheria za nchi yako ngoja nikuelimishe , kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya mwaka 1971 mtoto wa miaka kuanzia 14 kwenda juu ana ruhusiwa kuolewa au kuoa ila mwaka 2021 mahakama ili toa uwamuzi wa kuitaka serikali ya Tz kupandisha umri huo na kuwa mpaka 18 uwamuzi ambao mpaka sasa serikali ya Tz haijautekeleza na ndio maana huyo mwana sheria wa bakwata anaiomba serikali isitekeleze huo uwamuzi wa kupandisha umri wa kuolewa kutoka miaka 14 mpaka 18.

Inamaana mpaka sasa kwa mujibu wa sheria za Tz mtoto wa miaka 14 anarusiwa kuolewa ila kwa lidhaa yake bila kushurutishwa na mtu kwa maana hiyo binti yako anaweza kuamuwa kuolewa akiwa na umri huo na ww mzazi usiweze kumzuia.
 
Yaani mtu amesoma sheria mpaka kuwa mwanasheria mkuu wa Bakwata haoni aibu kuongea Upumbavu kama huu...?...anajua mtoto wa miaka 14 alivyo? Kweli ataweza kubeba majukumu ya kuwa mke achilia mbali kuwa mama? Na shule je?.

Aisee...inasikitisha sana.
A 60-year-old man has married an 11-year-old girl.



 
Mnataman hata Nchi ingeongozwa Kwa sheria za Kidini kama kule Afghanistan .


Nyie wapuuzi kweli
Punguza upumbavu hiyo ni kwa mujibu wa Sheria za Tz mtoto wa miaka 14 anarusiwa kuolewa au kuoa na ila mwaka 2021 mahakama ili toa uwamuzi wa kuitaka serikali ya Tz kupandisha umri huo kutoka 14 mpaka 18 uwamuzi ambao mpaka sasa serikali haijautekeleza.
 
Yaani mtu amesoma sheria mpaka kuwa mwanasheria mkuu wa Bakwata haoni aibu kuongea Upumbavu kama huu...?...anajua mtoto wa miaka 14 alivyo? Kweli ataweza kubeba majukumu ya kuwa mke achilia mbali kuwa mama? Na shule je?.

Aisee...inasikitisha sana.
Swali mwanaye wa miaka 14 Yuko tayar kumuozesha?
 
Kuna mabinti hapa nyumban nimewauliza mmekua sasa muolewe mmoja ana 13,mwingine 15 wanenishangaa wakaniambia hatutakii
Kama mnapinga wasiolewe kwa kigezo cha kuwa wadogo basi pingeni na kufanya nao ngono sio hamtaki waolewe lakini huku mitaani mnawarubuni na kuwala kwa chipusi mayai mwisho mnawapa mimba na kuwatelekeza mabinti wa watu.

Kwa jinsi hali hilivyo mitaani ya mabinti wadogo kupewa mimba na kutelekezwa mm naunga mkono binti kama hasomi aolewe tu.
 
Swali mwanaye wa miaka 14 Yuko tayar kumuozesha?
Yes, wanafanya hivyo. Kuna wale wanaotembea na unga , Kuni, na vifaa vingine kichwani wenyewe wanaita kumtafuta Mungu. Mmoja alimuoza mwanaye Kwa Mzee mwenzake miaka kama 60
 
Kwa maoni yangu binti wa umri huo bado anahitaji malezi ya Wazazi.

Kwahiyo hata kama amefeli vyema apelekwe hata Elimu ya Ufundi (Veta) wakati akiendelea kukua kimwili na kiakili
Kwa hiyo hilo litamzuia kufanya ngono huko mitaani tena na watu wazima?
 

Nyie wanaume Ndio mjichunge muwe na maadili
 
Wee ndio mpumbavu, Sasa hata kama ni bado sheria ya TZ .


Una mtoto wakike wa miaka 14 ??
 
Mtoto wa dada yako unataka awe reference kwa watoto wengine kuwa wote wapo hivyo?
Malezi mabovu ndio yamepelekea mtoto wa dada yako apewe mimba.
 
Hata mtume alioa katoto ka 9years...sasa wao ni nani wakatae 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…