Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Segerea siyo mbali wewe, shtuka mapema chukua hatua.Wapo sahihi Kuna mtoto wa kike hapa ana miaka 13 lakini ananikonyeza kwa mbali Mimi Nina 26yrs na hasomi yupo yupo tu Sasa kwanini asiolewe kuliko kuja kupewa Mimba na wahuni maana watoto wa kike waki-balehe wanakuaga was Moto Sana.
Kwani hiyo sheria walitunga bakwata?watoto wanao beba mimi na kujiuza mitaani si ndio hao mika 14 bora kipi kuolewa au kujiuza mitaani na kutoa mimba kizazi cha leo hovio sanaInasikitisha sana!
Hiyo sheria ya ndoa walitunga wao au unachukinao?Bakwata waache uhuni
Hata huyo wa miaka 69 anaweza kuwa na kichwa kilicho jamaji tuMiaka 14 unapanga naye nini maisha?
Jamaa gani walio tunga hiyo sheria au bakwata?ila hao jamaa Wana akili ndogo kama za nzi
Mtoto ameshapigwa makeup, bc Muislamu hapo haelewi anachowaza ni kwenda kugazamua tuu.Nikweli anakuwa mkubwa sana......kama huyu 11 tayari
View attachment 2564047
Fanya yako achana naoSheria ya kimasikini ambayo watu wake hawathamini elimu. Waachwe wafanye watakavyo.
Ndoa zinawashinda watu wazima na uzee wao huyo wa miaka 14 atawezqje kama sio unyanyasaji.
Mtaani wapi, mnadhani si wengine tunaishi mbinguni?Hili ndo tatizo la waafrika kuukataa ukweli hata kama wanaushudia.
Ukweli ni kwamba hao mabinti wenye huo umri mnao waita watoto huku mtaani wanafanya ngono sana tena na watu wazima kama baba zao.
Mitaa imejaa rundo la mabinti wa miaka 13 ,14 mpaka 15 walio pewa mimba na kuzalishwa alafu wakatelekezwa sasa si bora waolewe kuliko kuwa wanafanyiwa hivyo?
Mabinti wa siku hizi wame jaa uhuni mwingi mno sasa hivi kukuta binti wa hiyo miaka 14 ambao ww unamuita mtoto ana mmiliki wanaume 3 na wote anaeahudumia kingono ni jambo la kawaida.
Inasikitisha sana kwakweliMtoto ameshapigwa makeup, bc Muislamu hapo haelewi anachowaza ni kwenda kugazamua tuu.
Uislamu ni jipu
Watasema miaka 16 bado mdogo watu waleo wanaona raha sana ukahaba unavio shamiriKifungu cha sheria hii kibadilishwe ili angalao umri uwe 16+
Unasema ukubaliani na maamuzi hayo ila wakati ule huyo mwanaharakati anaongea huku na kule mliweka pamba sikioni, leo mahakama imetoa maelezo ya kisheria unapinga.Sikubalian nao kabisa binti wa 14 ni ubakaji wa watoto tena wafungwe maisha.
...
Na n kwann nyie Waislamu ndio mmeshikilia bango jambo hilo lifanyike.?Jamaa gani walio tunga hiyo sheria au bakwata?
Hiyo research uliifanya lini?Mkuu kuzaa kwako na kutozaa kwangu hakutabadilisha ukweli.
Kwahiyo unakataa kuwa mitaani hakuna rundo la mabinti wa umri wa 14 mpaka 15 walio zalishwa na kutelekezwa?
Unakataa kuwa mabinti wa umri 14hawafanyi ngono na watu wazima kama baba zao?
Ww kama una binti yako mwenye umri huo na bado unamuita mtoto bila shaka hata yeye atakuwa anakucheka kimoyo moyo ila anayo yafanya mitaani anayajua mwenyewe.
Ww utakataa ila ukweli na uhalisia ndo huo binti kama hasomi na ana umri huo huna haja ya kumkataza kuolewa maana kinacho kufanya umkataze kuolewa anakifanya mitaani na katika mazingira hatarishi.
Matajiri wanaenda kuvioa vitoto vya maskini and not the other way round.We umesema kweli ni vitoto vya maskin matajiri hugusi mtoto wao
Umejipangaje kupigana vita vya III vya dunia Ndugu yangu? [emoji28]Kuwaachanisha Waislamu/Uislamu na
1: Ugaidi
2: Umalaya
3: Kitimoto
4: Upumbavu
Ni kufafuta vita nao.
Je tangu lini kuoa kukawa kinga ya kupata mimba? Huo mfano ni batili. Mimba wanapata hata watoto wa miaka 9, je turuhusu waolewe? Je Ukiruhusu hao kuolewa kama kinga ya mimba asipopata mchumba je? Ina maana tumekata tamaa kuwalea watoto wetu tunakimbilia kuwaoza kama mvuvi anavyouza samaki kwa bei ya kutupa ikifika jioni.Nakubali sisi Watanzania wengi huwa wavivu wa kufikiria hata jambo liwe dogo kiasi gani, na huo ni ujinga , hivi unasema asiolewe ili hali anafanya machafu na watu wazima wa kila rika?
Hivi kati ya penati na mpira wa kurushwa bora nini?, una sema asiolewe sasa akija kutiwa mimba ndio utaona kila mtu mbaya na kesi juu.
Natoa mfano wa mwisho true story, mume wa dada angu ana mtoto anayepaswa kuanza form1 mwaka huu 2023 , lakini ile desemba tu kakutwa ana mimba na hadi sasa mimba ni kubwa, baba yake ni mkulima tu, mama yake mzazi yupo mbali na hyo dada angu ni mama wa kufikia tu na aliyempa mimba ni mwanafunzi mtoto wa form 2, sasa hebu fikiria hii, mtoto ata mlea nani ?, si bora ange olewa tu