BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Wapo sahihi Kuna mtoto wa kike hapa ana miaka 13 lakini ananikonyeza kwa mbali Mimi Nina 26yrs na hasomi yupo yupo tu Sasa kwanini asiolewe kuliko kuja kupewa Mimba na wahuni maana watoto wa kike waki-balehe wanakuaga was Moto Sana.
Segerea siyo mbali wewe, shtuka mapema chukua hatua.
 
Inasikitisha sana!
Kwani hiyo sheria walitunga bakwata?watoto wanao beba mimi na kujiuza mitaani si ndio hao mika 14 bora kipi kuolewa au kujiuza mitaani na kutoa mimba kizazi cha leo hovio sana
 
Hili ndo tatizo la waafrika kuukataa ukweli hata kama wanaushudia.

Ukweli ni kwamba hao mabinti wenye huo umri mnao waita watoto huku mtaani wanafanya ngono sana tena na watu wazima kama baba zao.
Mitaa imejaa rundo la mabinti wa miaka 13 ,14 mpaka 15 walio pewa mimba na kuzalishwa alafu wakatelekezwa sasa si bora waolewe kuliko kuwa wanafanyiwa hivyo?

Mabinti wa siku hizi wame jaa uhuni mwingi mno sasa hivi kukuta binti wa hiyo miaka 14 ambao ww unamuita mtoto ana mmiliki wanaume 3 na wote anaeahudumia kingono ni jambo la kawaida.
Mtaani wapi, mnadhani si wengine tunaishi mbinguni?

Afu si kweli Binti mmoja afanyike kuwa mfano wa Mabinti wote tunaoishi nao mtaani hiyo ni UWONGO.

Wapo Mabinti waliopevuka kimwili, kiroho na kimaadili, mbali na yote hoja zako ni matope hakuna uhalali kabisa.
 
Sikubalian nao kabisa binti wa 14 ni ubakaji wa watoto tena wafungwe maisha.
...
Unasema ukubaliani na maamuzi hayo ila wakati ule huyo mwanaharakati anaongea huku na kule mliweka pamba sikioni, leo mahakama imetoa maelezo ya kisheria unapinga.

But ndiyo imetoka hivyo wanaolewa na wanaoa.
 
Tofauti na ugaidi, Waislamu wanachojua ni umalaya.
Pumbavu zenu wote
 
Mkuu kuzaa kwako na kutozaa kwangu hakutabadilisha ukweli.
Kwahiyo unakataa kuwa mitaani hakuna rundo la mabinti wa umri wa 14 mpaka 15 walio zalishwa na kutelekezwa?

Unakataa kuwa mabinti wa umri 14hawafanyi ngono na watu wazima kama baba zao?
Ww kama una binti yako mwenye umri huo na bado unamuita mtoto bila shaka hata yeye atakuwa anakucheka kimoyo moyo ila anayo yafanya mitaani anayajua mwenyewe.

Ww utakataa ila ukweli na uhalisia ndo huo binti kama hasomi na ana umri huo huna haja ya kumkataza kuolewa maana kinacho kufanya umkataze kuolewa anakifanya mitaani na katika mazingira hatarishi.
Hiyo research uliifanya lini?

Case study ilikuwa wapi?

Supervisors wako walikuwa nani?

Samples zipi ulitumia?

Methodology ipi iliyotumika?

Techniques zipi ulizotumia?

Dissertation tittle ipi iliyotumika?

Waathirika wangapi waliokumbwa na hilo jambo?

Uliweka suggestions zipi?

Ulitumia references zipi?

UJUAJI MWINGI MBELE GIZA
 
Kuwaachanisha Waislamu/Uislamu na
1: Ugaidi
2: Umalaya
3: Kitimoto
4: Upumbavu
Ni kufafuta vita nao.
 
Nakubali sisi Watanzania wengi huwa wavivu wa kufikiria hata jambo liwe dogo kiasi gani, na huo ni ujinga , hivi unasema asiolewe ili hali anafanya machafu na watu wazima wa kila rika?

Hivi kati ya penati na mpira wa kurushwa bora nini?, una sema asiolewe sasa akija kutiwa mimba ndio utaona kila mtu mbaya na kesi juu.

Natoa mfano wa mwisho true story, mume wa dada angu ana mtoto anayepaswa kuanza form1 mwaka huu 2023 , lakini ile desemba tu kakutwa ana mimba na hadi sasa mimba ni kubwa, baba yake ni mkulima tu, mama yake mzazi yupo mbali na hyo dada angu ni mama wa kufikia tu na aliyempa mimba ni mwanafunzi mtoto wa form 2, sasa hebu fikiria hii, mtoto ata mlea nani ?, si bora ange olewa tu
Je tangu lini kuoa kukawa kinga ya kupata mimba? Huo mfano ni batili. Mimba wanapata hata watoto wa miaka 9, je turuhusu waolewe? Je Ukiruhusu hao kuolewa kama kinga ya mimba asipopata mchumba je? Ina maana tumekata tamaa kuwalea watoto wetu tunakimbilia kuwaoza kama mvuvi anavyouza samaki kwa bei ya kutupa ikifika jioni.
 
Back
Top Bottom