BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Sikubalian nao kabisa binti wa 14 ni ubakaji wa watoto tena wafungwe maisha.

Watoto wahimizwe kusoma ili kuondoa ujinga kichwan na sio kuwaza waolewe tu ndoa zenyewe
Siku hizi kila wanavyozidi kusoma ndivyo wanavyozidi kuwa wajinga.
Itafutwe namna nyingine ya kuwasubirisha hadi wakomae au lengo la shule liwe ni kuwasubiri wakomae lakini lisiwe shule yenyewe
 
Yaani mtu amesoma sheria mpaka kuwa mwanasheria mkuu wa Bakwata haoni aibu kuongea Upumbavu kama huu...?...anajua mtoto wa miaka 14 alivyo? Kweli ataweza kubeba majukumu ya kuwa mke achilia mbali kuwa mama? Na shule je?.

Aisee...inasikitisha sana.
Elewa mada,tumia akili siyo mihemko,umeambiwa kama itathibitika haendelei na shule,sasa binti hasomi na wamejaa kibao mtaani miaka hiyo hawasomi lipi bora kumuoza au kumuacha achezewe??
 
Mambo sii ndio haya bwana....shauri zao wakina mawardat wanaoringa na tako skonsi zao.
 
FaizaFoxy ana maoni gani ?
 
Yaani mtu amesoma sheria mpaka kuwa mwanasheria mkuu wa Bakwata haoni aibu kuongea Upumbavu kama huu...?...anajua mtoto wa miaka 14 alivyo? Kweli ataweza kubeba majukumu ya kuwa mke achilia mbali kuwa mama? Na shule je?.

Aisee...inasikitisha sana.
Wacha ujinga wewe kwani mabibi ,etu na babu zetu waliwaleaje wazazi wetu?
Hapa mambo mukide kabisa kabinti ka miaka 14-15 tia ndani kabisa unajisevia tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…