BAKWATA yampa Cheti cha Pongezi Rais Uhuru Kenyatta kwa kusitisha hotuba ili kupisha adhana!

Kenyatta alinyamaza kwa mshangao inakuaje shughuli kubwa Kama Ile serikali ya Tanzania ilishindwa kuzibiti mapema kilichotokea, ilitakiwa waumini waruhusiwe kuendelea na ibada ila kipaza sauti kisitumike mchana ule.
Huo..mshangao ndio dakika mbili nzima.....?
 
Waafrika muwe makini na dini au imani hizi zilizokuja toka mbali kwa majahazi na merikebu, zitawagawa sana msipokuwa makini.

 
Na mmeshangilia kweli
Kwani wewe mwenzetu unamjua huyo aliyefanya hicho kituko cha mwaka cha kuingilia taratibu wa watu na imani yao ibadani? Nitajie ili tumshangae aliwaza nini hadi kufanya hicho kituko cha ajabu?
 
Hicho cheti ni Fake,cheti halisi huwa na sahii ya mtoa cheti na tarehe
 
Subiri taarifa ya habari baadae watakuwekea bwashee!
Sitoshangaa, kwa vile Kenya wamefanya lazima na Tanzania wa Copy and paste. Hili tukio lilitokea Tanzania sasa hao BAKWATA walikuwa wapi?
Au mpaka wawaone jirani zetu ndio na wao akili zao huwaza?
 
Hicho cheti sio cha kweli, au ulitumiwa wewe Digitaly bila ya kuwa scarned?
 
Acha mambo ya ajabu. Fiesta isimame kisa azana? Kwani dini ya Kiislamu inaruhusu kucheza na kuhudhuria matamasha ya Bongofleva?
Si ni sawa na kusema madangulo na wahudumu wake wawe wanasitisha huduma pale azana ikilia.

Kwanza haya mambo yanafikaje uko. Dini zote wasimamishe michezo uwanjani kisa kuna Mungu wa imani fulani yuko anaabudiwa muda huo. Tusile kisa kuna watu wamefunga, tusiuze kitimoto, tununue nyama waliyochinja wao. Aisee hebu tusubiri Afande Sele afe kifo kibaya, bado siku ngapi vile...
 
Ni tahadhari tu.

Isije ikawa ni mwanzo wa njia ya kuwashirikisha wasioamini katika imani hiyo kushiriki kwa lazima.
 
Jambo zuri wamefanya KWA Hili,kenya wanabahati Sana kua na kiongozi wa aina hii
 
ILIBIDI MUOMBE MSAMAHA KWA KUFANYA FUJO KWENYE SHEREHE ZA KITAIFA.

HIVI MLISHINDWA KUPUNGUZA SAUTI KWELI? MBONA MISIKITI YA VIJIJINI ADHANA INAPIGWA BILA MASPIKA?

MLIKOSA USTAARABU HALAFU MNASINGIZIA MUNGU.

mungu wenu hawezi kusikia bila kutumia maspika?
 
huo muda wangetumia kumuandiki barua mheshimiwa rais HASSAN awatoe UAMSHO huko GEREZANI
 

Kwa hiyo kwa sababu alimiminiwa risasi hivyo basi hatoweza teleza kwa kila analofanya kwa wale anaodhani wamemkosea? Kwa hiyo yuko sahihi kwenye kila jambo ?
 
Tutafute pia utaratibu kunapokuwa na shughuli za kijamii kama fiesta, mechi ya mpira, gwaride la maadhimisho n.k tuwe tunasitisha kinachoendelea mara tusikiapo adhana.
A slippery slope to where?

Mungu anaabudiwa kwenye nyumba iliyopangwa. Wanaotaka kumwabudu waende huko sio kuingilia matukio mengine yanayoendelea nje.

Wasishirikishwe katika kuabudu watu wasiohusika na ibada.

Na majirani wanaoishi karibu na nyumba hizo, na wao watalazimika kuwa wanaacha shughuli zao kila inapopita sala/adhana?
 
So mkuu mnasema mh lissu alijipiga Marisa's I?acheni hizi, lissu ni shujaa wa afrika, amepigwa Marisas kibao na bado akaludi endesha kimbunga 2020 lissu, na kidogo kiondoke na taulo ya mtu, mh lissu ni simba,binafsi nilimuona KWA mbali wakati anafungua tawi la chadema nzovye mbeya, wakati wa ufungunzi wa kampeni, nikiwa kikazi mbeya mda huo , mwili ulisisimka, yule ni roho inayotembea, mnaomsemea mabaya mtakufa nawambieni , hachana na hii Tabia nawambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…