BAKWATA yampa Cheti cha Pongezi Rais Uhuru Kenyatta kwa kusitisha hotuba ili kupisha adhana!

Kama akili Kama zako sawa
 
Kwani wewe umepungukiwa na nini Rais Kenyatta kupewa hicho cheti? Kwani umechangia hata wino wa kupeint hiyo?
hata ni maswali ya kijinga kweli? issue sio kupungukiwa nn.. issue hapa ni ku overrate mambo madogo wkt tuna major issues hapa nyumbani.
minimize attention seeking behaviour
 
Kwani kuitwa kafiri au makafiri ni tusi?
Hiyo ni sifa ya yule aliyemkanusha Mungu na mtume wake ndiye anaitwa kafiri kama huna hiyo sifa wewe si kafiri.
Mtume wake ni yule alieoa mtoto au.
 

Tanzania tunajifanya wakaji sana. Kenyatta katutoa ushamba.

Hotuba yake pia imeonyesha kuwa kenya ni wa wazi na hawana kinyongo chochote na Tanzania.

Dodoma Kenyatta alionyesha uungwana wa hali ya juu sana katika kila hali!
 
Sisi Wakristo huwa tukiwaambia Waislam kuwa Dini zote mbili zinaangalia kaburi karibu zife na waumin wao wamebaki na majina tu huwa wanabisha sana wakidai kuwa Dini yao inakua na kuenea. Huko nyuma Waislam walitambulika kwa mavazi yao ya Kanzu na Barkashia kwa wanaume na Buibui kwa wanawake wakiswali mara tano kwa siku na kuheshimu sana maiti. Leo ni majina tu yanatofautisha kati ya Waislam na Wakristo wengi wao hata hawajui nyumba za Ibada zilipo, Waislam wanaachana na maadili ya Dini yao ya kuheshimu miili ya wafu, wanaungana na Wakristo kuzunguka Nchi na maiti wakilia bila hata Barkashia. Mufti na Masheikh wake walifika Hospitali kumswalia John Pombe Joseph!
 
Tatizo la waislamu hawa hawa so called Bakwata ni kujali vitu petty kama hivyo!

Binafsi sipendi ukimya wao kuhusu kesi ya binaadamu wenzao mashekh ambao kesi yao uchunguzi mpaka wa leo haujakamilika,

Kama Nyerere alitoa msamaha kwa mtuhumiwa baada ya kuombwa na askofu makarious?.. kwa nini na wao hawana huruma na kufanya kama ya askofu?
 
MK254 njoo uchukue Cheti cha Rais wa Afrika Mashariki Ooooops! wa Kenya 🇰🇪
 
Kwani hata hiki kilichotokea siyo petty? Mbona pamoja na kuwa petty mnazungusha mikoa na mikoa badala ya kukipeleka moja kwa moja Chato?
I am not part of these petty issues. Hata hapa mtaani kwangu kama kuna kigodoro, ikifika saa ya adhana (whatever you call it) huwa naona wanazima muziki, wanaswali then kigodoro kinadendelea. sasa vyeti vya nini?
 
Thse are the serious issues to deal with na siyo kutoa vyeti eti amesimaisha hotupa wakati wa adhana!
 
Cheri bila tarehe ya tukio ambao hawakuona Hilo tukio mbele ya luninga hatutaelewa ilikuwa lini
 
Kenyatta alinyamaza kwa mshangao inakuaje shughuli kubwa Kama Ile serikali ya Tanzania ilishindwa kuzibiti mapema kilichotokea, ilitakiwa waumini waruhusiwe kuendelea na ibada ila kipaza sauti kisitumike mchana ule.
Mhe.Kenyata aliona bora anyamaze hasishindane na mjinga hasije onekana na yeye ni mjinga.
 
I am not part of these petty issues. Hata hapa mtaani kwangu kama kuna kigodoro, ikifika saa ya adhana (whatever you call it) huwa naona wanazima muziki, wanaswali then kigodoro kinadendelea. sasa vyeti vya nini?
You are indeed part and parcel of petty issues because you have willingly fully involved in those you call petty issues. Kwani wewe inakuuma nini kwa huyo mtu kupewa cheti? Halafu ukute wewe wala siyo Muislamu.
 
Kenyatta alinyamaza kupisha kelele za adhana msikitini kwani asingeweza kueleweka ama kusikika vizuri.
 
Mbona amsifii alijenga mskiti pale Chamwino, kinondoni? Na Chato pia. Kutoa pesa za kujenga mskiti Tabora. Mmesahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…