BAKWATA yataka CASINO ya Palm Village ifungwe, inaleta Usumbufu kwa Viongozi Wastaafu

BAKWATA yataka CASINO ya Palm Village ifungwe, inaleta Usumbufu kwa Viongozi Wastaafu

Ndiyo hiyo pub iko ufipa St

Kuna mambo mabaya zaidi hawa hawayakemei

Ova

Mkuu wewe unapajua hapo au ndio chaka lako ah ah ah ah

Any way

Hawa wanaongea ongea tu sasa kama palee tu pana MASHOGA [emoji304] KAMA 200

Huko casino patakuaje sasa nch inekuwa Ina watu wahovyo sana hii sasa hawa wa KUUNGA MKONO UPINDE WA MVUA [emoji304] kweli hawa

SISI TUTAPINGA KWANI [emoji304] sio tamaduni zetu
 
TUNAANZA KUHESABU MASHOGA [emoji304] KWA KUPITIA COMMENT- KILA ALIYEPINGA KASINO KUFUNGIWA NI ANASAPOTI UPINDE WA MVUA [emoji304]

NA TUNAFUNGUA UZI WA KUWATAMBULISHA HAO MASHOGA KWA KUWAHOROTHESHA MAJINA; WOTE MLIOPINGA KASINO KUFUNGIWA NI [emoji304] SO KAMA UNAJIJUA [emoji304] UTAKUWEPO KWENYE UZI HUO TENA KWA KUANDIKWA JINA LAKO LOTE

NCHI YETU HAINA UTAMADUNI WA UPINDE WA MVUA [emoji304] NA TUNAPINGA VIKALI USHOGA [emoji304][emoji304][emoji304]
 
Baraza kuu la Waislam Tanzania, limetaka mfanyabiashara wa Casino Gaming kufunga mara moja kwani wanaleta Uaumbufu kwa makazi ya Viongozi. Casino ipo Palm Village Mikocheni.

Tatizo ni kwamba Casino ipo eneo lenye Wananchi wengi na hasa Viongozi Wastaafu kuanzia Familia ya BABA WA TAIFA NA RAIS WA AWAMU YA PILI

....kuwawekea Biashara ya Kamali kwenye Milango ya makazi yao ni ukosefu wa Nidhamu na Maadili. BAKWATA iliwafahamisha mapema kabla ya kujengwa na kufunguliwa kwa Biashara hiyo ya Kamali maana pia eneo hilo linakaliwa pia na Viongozi wengi wa Dini Wastaafu.

Inashangaza kwamba Mkurugenzi muhusika wa utoaji wa Vibali vya Kamali akaamua kuziba Masikio na kuruhusu Biashara hiyo inayokera sana kutokana na Wingi wa Watu kuingia na kutoka ndani ya jengo hilo Usiku kucha na kuwasumbua majirani na hasa Viongozi Wastaafu.

Ni muhimu sana Serikali ikaingilia sasa suala hili na kulitafutia ufumbuzi maana Biashara ya Kamali haifai kuwa kwenye maeneo ya makazi ya Wananchi.
View attachment 2504192View attachment 2504193
Bakwata mmeishiwa akili
 
WA-TANZANIA walio wengi hawana EXPOSURE ya maisha na pia elimu wanaweza kuwa wame kwenda UN au COLLEGE lkn wengi wao wanakuwa hawana ufahama wa mambo mengi ndio maana hata taasi nyingi za serikali zina watendaji wa hivyo.

CASSINO ni biashara mbaya hasa na ndio kuna kila aina ya uharamia na sikila NCHI inaruhusu hii biashara hata huku DUNIA ya kwanza huwezi pewa LESENI HOVYO wanajua mambo yanayo fanyika huko hata hao WACHINA kwao huko CHINA hakuna sheria ya kuwa na CASSINO.

LKN wacha wa fungue hayo MACASSINO ya kutosha ila mpate Akili kidogo watanzania.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Basi ndiyo maana hujui kitu.
Haya wasalimie wenzako hapo Kinondoni kwa Dida.

Hayaa [emoji304]

Endelea kutanuka [emoji304][emoji304][emoji304]

Ila nchi yetu haina utamaduni huo wa [emoji304][emoji304][emoji304][emoji304] acheni ujinga
 
Hayaa [emoji304]

Endelea kutanuka [emoji304][emoji304][emoji304]

Ila nchi yetu haina utamaduni huo wa [emoji304][emoji304][emoji304][emoji304] acheni ujinga
Hahah sasa Casino inahusiana vipi na hayo mambo yenu ya ushoga???
 
Baraza kuu la Waislam Tanzania, limetaka mfanyabiashara wa Casino Gaming kufunga mara moja kwani wanaleta Uaumbufu kwa makazi ya Viongozi. Casino ipo Palm Village Mikocheni.

Tatizo ni kwamba Casino ipo eneo lenye Wananchi wengi na hasa Viongozi Wastaafu kuanzia Familia ya BABA WA TAIFA NA RAIS WA AWAMU YA PILI

....kuwawekea Biashara ya Kamali kwenye Milango ya makazi yao ni ukosefu wa Nidhamu na Maadili. BAKWATA iliwafahamisha mapema kabla ya kujengwa na kufunguliwa kwa Biashara hiyo ya Kamali maana pia eneo hilo linakaliwa pia na Viongozi wengi wa Dini Wastaafu.

Inashangaza kwamba Mkurugenzi muhusika wa utoaji wa Vibali vya Kamali akaamua kuziba Masikio na kuruhusu Biashara hiyo inayokera sana kutokana na Wingi wa Watu kuingia na kutoka ndani ya jengo hilo Usiku kucha na kuwasumbua majirani na hasa Viongozi Wastaafu.

Ni muhimu sana Serikali ikaingilia sasa suala hili na kulitafutia ufumbuzi maana Biashara ya Kamali haifai kuwa kwenye maeneo ya makazi ya Wananchi.
View attachment 2504192kama serikali itaingilia HILI jambo niite mbwa nimekaa pale. Haya mavitu yanakuwaga ni ya watu wenye ukwasi mwingi analipa kodi, kaajili watu kibao, ajitulize ni kama mtu aliyechanganyikiwa tu
Maana hakuna atakayemsikiliza.
 
Umeona eenhh?.Mashekhe ni wanafiki sana.
nchi hii lini watu mtabadilika na kuelimika hao masheikh wametoa kelo yao mawazo yao nyiyi kwa ushenzi wenu mnaaza kuwashutumu mala vipaza sauti kwenini msiheshimu mtazamo yao?

wewe kama unakeleka na vipaza sauti nenda mahakamani au kwenye viombo via habari ukaoe kelo yako mtazamo wako kuhusu vipaza sauti mtazomo wako mawazo yako tutayaheshimu kuheshimu mawazo mtazamo wa mtu huo ndio utu vinginevio ni ushezi
 
WA-TANZANIA walio wengi hawana EXPOSURE ya maisha na pia elimu wanaweza kuwa wame kwenda UN au COLLEGE lkn wengi wao wanakuwa hawana ufahama wa mambo mengi ndio maana hata taasi nyingi za serikali zina watendaji wa hivyo.

CASSINO ni biashara mbaya hasa na ndio kuna kila aina ya uharamia na sikila NCHI inaruhusu hii biashara hata huku DUNIA ya kwanza huwezi pewa LESENI HOVYO wanajua mambo yanayo fanyika huko hata hao WACHINA kwao huko CHINA hakuna sheria ya kuwa na CASSINO.

LKN wacha wa fungue hayo MACASSINO ya kutosha ila mpate Akili kidogo watanzania.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app

ASANTE MKUU

HUMU JF WANAJIENDEA TU KWA KUTAKA SIFA KWA VOMMENT ZA OVYO ILI TU WAPATE LIKE ZA OVYO OVYO WANGEJUA MAMBO YA OVYO YANAYOGANYIKA HUMO MAKASINO WANGEWAUNGA MKONO BAKWATA BILA KUJALI TOFAUTI ZA DINI YAANI HAPO WANAOLETA NI UDINI NA SIO MANUFAA YA RAIA WA TANZANIA NA HIZO DINI ZENYEWE DAAAH TUACHE

ILA WANASAPOTI KILA AINA YA UFUSKA BILA KUJIJUA UKIWEPO USHOGA [emoji304] UPINDE WA MVUA [emoji304] VICHWA MAJI WENGI SANA ILA WANAJIONA WANA AKILI KWA KUKOPI AINA YA TAARIFA NA KUANDIKA KAMA NYUZI
 
Mkuu wewe unapajua hapo au ndio chaka lako ah ah ah ah

Any way

Hawa wanaongea ongea tu sasa kama palee tu pana MASHOGA [emoji304] KAMA 200

Huko casino patakuaje sasa nch inekuwa Ina watu wahovyo sana hii sasa hawa wa KUUNGA MKONO UPINDE WA MVUA [emoji304] kweli hawa

SISI TUTAPINGA KWANI [emoji304] sio tamaduni zetu
Kama hapo ni hatari maana ni kama kiwanda cha mashoga wanazalishwa
Hapo bado hujaenda sinza,tbt duh

Ova
 
Bakwata wafanye kutimiza wajibu wao kwenye jamii, vijana wamekuwa mapanya road wengine mashoga wengine malaya ilitakiwa wabuni mbinu ya kuweza kufikia familia kueneza neno la Mungu kuokoa hiki kizazi sio kutaka Casino ifungwe eti kisa kujikombakomba kwa viongozi.

Halafu hivi vyeo mnavyowapa hawa watu muwe mnatangaza watu wa apply kulingana na CV zao. Exposure muhimu sana na elimu.
Kwani hizo sehemu ni za bakwata? Nipo hapa likitoka hilo casino niite MBWA kama anasumbuliwa aame sehemu zipo nyingi
 
Mimi ni Muislam na Palm village napajuwa vizuri na hiyo Casino naijuwa vizuri.Bakwata naona kwenye hili wameingizwa mtego na wafanyabiashara wenye Casino kwenye hili haliwahusu kabisa.Make mambo ya Casino Huwa yanafanyika ndani hata sauti nje haitoki Sasa Bakwata ni nani Mi nadhani Bakwata wajikite Kwa nini shule nyingi za kiislam zinaongoza Kwa kufeli? Kwa nini misikiti ya vijijini Haina umeme na maji?
 
Sijaona mahali popote BAKWATA wamekataza ila wameonyesha wako "concerned".

Kama mwenye Casino kwa utashi wake na busara zake ataona ipo haja kutafuta eneo jingine hewala, kama ataona lazima afanyie hapohapo basi watu watafungua vitabu vya sheria nchini waone kama kuweka Casino katika maeneo hayo ni sawasawa kwa mujibu wa sheria na mipango miji!.

Hiyo Casino imewekwa hapo strategically kuvutia familia za viongozi na watu wakubwa, once hao watu wakishaingia ktk michezo ya gambling wakawa addicted, ni rahisi kuconnect ties na mamafia wa dunia,na kuingiza influence zao serikalini kupitia watu hao!.
This makes sense kiusalama ingawa sidhani kama BAKWATA waliwaza hivi. Hapo foreign agents watakuwa active
 
Back
Top Bottom