Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Kotekotesadaka za msikitini kanisani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kotekotesadaka za msikitini kanisani?
Acha kutishia uhuru wa watu humu kijana. Acha kabisa.
Ndiyo hiyo pub iko ufipa St
Kuna mambo mabaya zaidi hawa hawayakemei
Ova
Mimi ndio ni upinde. Sasa tulia usitishie amani watu kijana.Wewe kama ni [emoji304] kuwa naamani sitokutishia uhuru tena kuwa Na [emoji304] amani [emoji304]
Bakwata mmeishiwa akiliBaraza kuu la Waislam Tanzania, limetaka mfanyabiashara wa Casino Gaming kufunga mara moja kwani wanaleta Uaumbufu kwa makazi ya Viongozi. Casino ipo Palm Village Mikocheni.
Tatizo ni kwamba Casino ipo eneo lenye Wananchi wengi na hasa Viongozi Wastaafu kuanzia Familia ya BABA WA TAIFA NA RAIS WA AWAMU YA PILI
....kuwawekea Biashara ya Kamali kwenye Milango ya makazi yao ni ukosefu wa Nidhamu na Maadili. BAKWATA iliwafahamisha mapema kabla ya kujengwa na kufunguliwa kwa Biashara hiyo ya Kamali maana pia eneo hilo linakaliwa pia na Viongozi wengi wa Dini Wastaafu.
Inashangaza kwamba Mkurugenzi muhusika wa utoaji wa Vibali vya Kamali akaamua kuziba Masikio na kuruhusu Biashara hiyo inayokera sana kutokana na Wingi wa Watu kuingia na kutoka ndani ya jengo hilo Usiku kucha na kuwasumbua majirani na hasa Viongozi Wastaafu.
Ni muhimu sana Serikali ikaingilia sasa suala hili na kulitafutia ufumbuzi maana Biashara ya Kamali haifai kuwa kwenye maeneo ya makazi ya Wananchi.
View attachment 2504192View attachment 2504193
Basi ndiyo maana hujui kitu.Sina miaka Chief
Huyu msamehe bure aendelee kula utumbo wa kuku huko uswekeni.Kaka twende taratibu kidogo!!!!Kwani maoni ya bakwata sheria????Afu ushawahi kuingiaga ndani ya kasino ukakuta makazi ya mashoga????
Basi ndiyo maana hujui kitu.
Haya wasalimie wenzako hapo Kinondoni kwa Dida.
Huyu msamehe bure aendelee kula utumbo wa kuku huko uswekeni.
Hahah sasa Casino inahusiana vipi na hayo mambo yenu ya ushoga???Hayaa [emoji304]
Endelea kutanuka [emoji304][emoji304][emoji304]
Ila nchi yetu haina utamaduni huo wa [emoji304][emoji304][emoji304][emoji304] acheni ujinga
Maana hakuna atakayemsikiliza.Baraza kuu la Waislam Tanzania, limetaka mfanyabiashara wa Casino Gaming kufunga mara moja kwani wanaleta Uaumbufu kwa makazi ya Viongozi. Casino ipo Palm Village Mikocheni.
Tatizo ni kwamba Casino ipo eneo lenye Wananchi wengi na hasa Viongozi Wastaafu kuanzia Familia ya BABA WA TAIFA NA RAIS WA AWAMU YA PILI
....kuwawekea Biashara ya Kamali kwenye Milango ya makazi yao ni ukosefu wa Nidhamu na Maadili. BAKWATA iliwafahamisha mapema kabla ya kujengwa na kufunguliwa kwa Biashara hiyo ya Kamali maana pia eneo hilo linakaliwa pia na Viongozi wengi wa Dini Wastaafu.
Inashangaza kwamba Mkurugenzi muhusika wa utoaji wa Vibali vya Kamali akaamua kuziba Masikio na kuruhusu Biashara hiyo inayokera sana kutokana na Wingi wa Watu kuingia na kutoka ndani ya jengo hilo Usiku kucha na kuwasumbua majirani na hasa Viongozi Wastaafu.
Ni muhimu sana Serikali ikaingilia sasa suala hili na kulitafutia ufumbuzi maana Biashara ya Kamali haifai kuwa kwenye maeneo ya makazi ya Wananchi.
View attachment 2504192kama serikali itaingilia HILI jambo niite mbwa nimekaa pale. Haya mavitu yanakuwaga ni ya watu wenye ukwasi mwingi analipa kodi, kaajili watu kibao, ajitulize ni kama mtu aliyechanganyikiwa tu
nchi hii lini watu mtabadilika na kuelimika hao masheikh wametoa kelo yao mawazo yao nyiyi kwa ushenzi wenu mnaaza kuwashutumu mala vipaza sauti kwenini msiheshimu mtazamo yao?Umeona eenhh?.Mashekhe ni wanafiki sana.
WA-TANZANIA walio wengi hawana EXPOSURE ya maisha na pia elimu wanaweza kuwa wame kwenda UN au COLLEGE lkn wengi wao wanakuwa hawana ufahama wa mambo mengi ndio maana hata taasi nyingi za serikali zina watendaji wa hivyo.
CASSINO ni biashara mbaya hasa na ndio kuna kila aina ya uharamia na sikila NCHI inaruhusu hii biashara hata huku DUNIA ya kwanza huwezi pewa LESENI HOVYO wanajua mambo yanayo fanyika huko hata hao WACHINA kwao huko CHINA hakuna sheria ya kuwa na CASSINO.
LKN wacha wa fungue hayo MACASSINO ya kutosha ila mpate Akili kidogo watanzania.
Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
Kama hapo ni hatari maana ni kama kiwanda cha mashoga wanazalishwaMkuu wewe unapajua hapo au ndio chaka lako ah ah ah ah
Any way
Hawa wanaongea ongea tu sasa kama palee tu pana MASHOGA [emoji304] KAMA 200
Huko casino patakuaje sasa nch inekuwa Ina watu wahovyo sana hii sasa hawa wa KUUNGA MKONO UPINDE WA MVUA [emoji304] kweli hawa
SISI TUTAPINGA KWANI [emoji304] sio tamaduni zetu
Kwani hizo sehemu ni za bakwata? Nipo hapa likitoka hilo casino niite MBWA kama anasumbuliwa aame sehemu zipo nyingiBakwata wafanye kutimiza wajibu wao kwenye jamii, vijana wamekuwa mapanya road wengine mashoga wengine malaya ilitakiwa wabuni mbinu ya kuweza kufikia familia kueneza neno la Mungu kuokoa hiki kizazi sio kutaka Casino ifungwe eti kisa kujikombakomba kwa viongozi.
Halafu hivi vyeo mnavyowapa hawa watu muwe mnatangaza watu wa apply kulingana na CV zao. Exposure muhimu sana na elimu.
Hahah sasa Casino inahusiana vipi na hayo mambo yenu ya ushoga???
This makes sense kiusalama ingawa sidhani kama BAKWATA waliwaza hivi. Hapo foreign agents watakuwa activeSijaona mahali popote BAKWATA wamekataza ila wameonyesha wako "concerned".
Kama mwenye Casino kwa utashi wake na busara zake ataona ipo haja kutafuta eneo jingine hewala, kama ataona lazima afanyie hapohapo basi watu watafungua vitabu vya sheria nchini waone kama kuweka Casino katika maeneo hayo ni sawasawa kwa mujibu wa sheria na mipango miji!.
Hiyo Casino imewekwa hapo strategically kuvutia familia za viongozi na watu wakubwa, once hao watu wakishaingia ktk michezo ya gambling wakawa addicted, ni rahisi kuconnect ties na mamafia wa dunia,na kuingiza influence zao serikalini kupitia watu hao!.