Mjinga kweli huyo! Analalamika nini sasa na wakati huo ndiyo ukweli wenyewe!!Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
Huyu Balile atafanya kazi ya kuchunguza kama nani? Wahaya Bwana ,hawa ndo ushusha kabila hili wadhifa wake , kwamba kipanya amewataja? Yeye si kachora katuni tu ,anajuaje kama mchora katuni alimanisha jambo lingine, so Balile kaona neno Media tu , Dunia nzima kuna media anaweza dhibitisha mchora katuni alimansha media za tz tu,Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
Naunga mkono hojaYuko sahihi Kulalamika. Huwezi kufananisha kitu kinachosafisha sehemu nyeti na Waandishi wa ovyo kama Balile. Tuipe heshima toilet paper.
Kimbilio lao ni upinde qmmk watu wanatekwa wako kimya wakiambiwa toilet paper wanakuja juu hakika ujumbe aliokusufia Kipanya umefika sehemu sahihiNdio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
Ukiwa unafanya jambo kama analolisema kP unadhani wewe mwenyewe utajijua? Balile kama anadhani kP kasema uongo, aitishe kura ya maoni kwenye social media yeyote ju hilo then aone matokeo kutoka kwa wasomaji wa magazeti yao. Again, wafanye utafiti mdogo tu, biashara yao ya magazeti siku hizi ipoje? Magazeti yanauzwa kama zamani? If not, ajiulize swali rahisi, Why?Huyu si wale wale wanaolamba miguu watawala! Kwani yeye kwa akili yake haoni media inachofanyiwa na watawala? Jinga kabisa! Eti tuwachunguze
Huo ndio ukweli wenyewe, tena mtumiaji wa hiyo tp ni mwanamke mweupeNdio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
😅😅😅😅Yuko sahihi Kulalamika. Huwezi kufananisha kitu kinachosafisha sehemu nyeti na Waandishi wa ovyo kama Balile. Tuipe heshima toilet paper.
Tufanye media za Tanzania ni Toilet paper kama ilivyo kwa katuni, hivi media za Tz zikikosekana unapata stress gani.Nimewaza kama wewe pia. Kopo la chooni umuhimu wake unaonekana hadi ukipata haja kubwa. Ukiingia chooni ukikosa kopo unapata stress.
msikilize
View attachment 3398222
Pascal Mayalla Mzee wa tasnia unayeamini media ni mhimili wa 4 wa hii nchi sema neno.Tufanye media za Tanzania ni Toilet paper kama ilivyo kwa katuni, hivi media za Tz zikikosekana unapata stress gani.
Anapenda sana upinde, hata alipomhoji Tundu, Balile ali 'insinuate' kwamba nchi za magharibi zinaweza kuwafadhili halafu zikadai sheria za upinde. Balile hakuongelea nchi hizo kudai rasilimali za nchi...amemtuka kipanya kuwa anafadhiliwa na watu wa upinde.
..sijui kwanini balile hawakosoi wasiojulikana, kwa kushiriki mambo ya upinde.
..mambo waliyowafanyia wanaharakati wa kenya na uganda ni upinde.
Inawezekana yupo pale ila hajui, sikuona sababu yoyote ile Balile zungumzia swala hili ,Balile ni mjinga na kibaraka wa ccm hilo liko wazi! Yaani kipanya kafanya sanaa yake na ujumbe umefika kwa wote labda balile haelewi maana ya media! 🚮
Balile ni taka taka la hovyo sana, kama kingedele hata ubongo kameozaNdio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
Kipanya kaweka neno media tu, je ni tz ipo media tu? Sasa huyu Balile kutisha watu ati uchunguzi unatoka wapi , Balile anatakiwa badilika mara mojaKimbilio lao ni upinde qmmk watu wanatekwa wako kimya wakiambiwa toilet paper wanakuja juu hakika ujumbe aliokusufia Kipanya umefika sehemu sahihi
No reform No Election