Kwa ulie fikia ukomo wa kufikiri Kama wewe hauna faida, kwa waliofungua akili na kuwa na mawazo chanya unafaida kubwa Sana Ni suala la kuamua tu.Hahaha Nani atatumia uwanja wa chato
Mchagga hujipendekeza kisayansi lakini muhaya hujiachia tu!Hahahahah ubora katika lipi mzee mwenzangu?
I have only one baba Sina baba mwingine!Ni siasa tu ile kama ambavyo baba yenu mpendwa alikuwa anaunda tume ya uchunguzi kwa kila jambo hata yalioko dhahiri kabisa
Tatizo lako unaleta mizaha kwenye mambo ya msingi!Magufuli hakutakiwa akope mahela yote haya wakati kuna mihela yetu mingi tu ACACI walikamatwa ready handed wametuibia kwenye madini. alitakiwa akomae kudai mipesa yetu trilion 424, ambazo ni nyingi mno kiasi kwamb kama zingegawiwa kwa watanzania zinatosha kumnunulia kila Mtanzania Noah mojamoja😁
Mwandishi wa namna hiyo ni mchumia tumbo tu. Mwandishi mweledi angeandika tu. Mbona waliandika report moja hivi ya kiuchunguzi hadi JPM akawasifia.Zama zile ukiandika habari kama hii yatakupata mzito, hivyo Sasa ndio muda sahihi wa kuandika na hakuna tatizo kufanya hivyo.
Unaona sasa aggressiveness umetafsiri Kama kufanya vurugu hahahahahaAggressiveness inakaribisha kipondo cha polisi ccm
Ni jambo zuri kuwa neutral ila personally i get so irritated na watu wanaomdiss hayati knowing that the guy did some good stuff!I have only one baba Sina baba mwingine!
Halafu mimi Sina mavyama mzee baba, sicommemt based on uvyama ila nasoma na kucomment ninachoelewa. Sifungwi na Chama au mlengo flani kutoa mawazo yangu...
You wanna be aggressive then you want peace! Hivyo vitu haviwezekani kwenye nchi ya demokrasia ya mfukoni kama bongo!Unaona sasa aggressiveness umetafsiri Kama kufanya vurugu hahahahaha
Kazi ipo!
Ukijifanya unajua sana haki zako you get freaked tha https://jamii.app/JFUserGuide out!Unaona sasa aggressiveness umetafsiri Kama kufanya vurugu hahahahaha
Kazi ipo!
Sio kuchumia tumbo mkuu...'mkono usiyouweza ubusu' kwa nyakati zile ilikuwa lazima 'ku-lay low' ili kuendelea kufanya kazi yako maisha yaende.Mwandishi wa namna hiyo ni mchumia tumbo tu. Mwandishi mweledi angeandika tu. Mbona waliandika report moja hivi ya kiuchunguzi hadi JPM akawasifia. Baada ya zile sifa naamini walidhani sasa uteuzi upo njiani, wakawa wanasubiri! Leo ndio anaibuka kivingine kwa makusudi yale yale
Sema uwanja ubadirishwe matumizi!Kwa ulie fikia ukomo wa kufikiri Kama wewe hauna faida, kwa waliofungua akili na kuwa na mawazo chanya unafaida kubwa Sana Ni suala la kuamua tu...
Good morning,Ukijifanya unajua sana haki zako you get freaked tha JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala out!
Im tripping...Good morning,
Have a nice breakfast though!
Kudos.
Nashangaa wachangiaji hapa, wameanza kumshutumu Balile!And alikuwa anakopa kwa siri as if hiyo hela angelipa kutoka mifukoni mwake, akiwa majukwaani anawatukana mabeberu, Usiku anawapigia simu kuwakopa hela!! Trl 29 kwa miaka 5 ni nyingi sana, and sijui kafanyia nini hiyo hela, maana mamiradi yake yote yapo under 50% ya utekelezaji
Aendelee ku join, vinginevyo ni unafiki tu. Kuna watu humu huwa mnamsema Pascal Mayalla kwamba alikuwa anajipendekeza, ila kwangu naona Pascal Mayalla kuwa ni miongoni mwa waandishi waliosomamia ukweli na kuusema iwe wakati wa JPM ama wakati mwingine. Tunawataka waandishi kama hao. Penye pahala pa kusema, pascal husema na pahala pa kupongeza hupongeza bila kujali.Sio kuchumia tumbo mkuu...'mkono usiyouweza ubusu' kwa nyakati zile ilikuwa lazima 'ku-lay low' ili kuendelea kufanya kazi yako maisha yaende.
If you can't fight them then join them.