johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ataje kama hawajambabuwa hospital kudadadekiMwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana
Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama hayatachapishwa magazetini
Balile amesema mzee Butiku ana Tabia ya Kutukana Waandishi wa habari ilhali yeye mwenyewe ofisi yake ya Mwalimu Nyerere Foundation haijulikani inafanya kazi gani kwa sasa
Source: East Africa Radio/ Tv
My take; Hata Mbuyu ulianza kama mchicha ππ₯
MweeeBalile KAPANIKI...Mzee Butiku Mungu akubariki mmebaki wachache wengine bado wamepiga Kufuli kwenye hili baya kabisa kwenye Taswira ya Taifa
Ofisi yake ni tawi lisilojulikana π π π π ukiingia hutoki kam KashogiMwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana
Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama hayatachapishwa magazetini
Balile amesema mzee Butiku ana Tabia ya Kutukana Waandishi wa habari ilhali yeye mwenyewe ofisi yake ya Mwalimu Nyerere Foundation haijulikani inafanya kazi gani kwa sasa
Source: East Africa Radio/ Tv
My take; Hata Mbuyu ulianza kama mchicha ππ₯
kwahiyo sasa hizo codes zinasaidia nini kwa mfano gentleman?πBalile naona kama vile kapanic na anaonyesha upeo mdogo sana dhidi ya Butiku!
Butiku aliongea kwa codes sana!
Aliposema " tunawajua" alimaanisha kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vinajua Kila kitu!
Kumbukeni kuwa Butiku naye ni " Nyoka" anajua anachosema.
Sasa akili za kichawa chawa kama za Balile haziwezi kumwelewa Butiku !
Bichwa lako ni empty , unachopaswa ni ku- unlock the codes!kwahiyo sasa hizo codes zinasaidia nini kwa mfano gentleman?π
Balile ni chawa wa mama, apuuzwe tu.Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana
Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama hayatachapishwa magazetini
Balile amesema mzee Butiku ana Tabia ya Kutukana Waandishi wa habari ilhali yeye mwenyewe ofisi yake ya Mwalimu Nyerere Foundation haijulikani inafanya kazi gani kwa sasa
Source: East Africa Radio/ Tv
My take; Hata Mbuyu ulianza kama mchicha ππ₯
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana
Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama hayatachapishwa magazetini
Balile amesema mzee Butiku ana Tabia ya Kutukana Waandishi wa habari ilhali yeye mwenyewe ofisi yake ya Mwalimu Nyerere Foundation haijulikani inafanya kazi gani kwa sasa
Source: East Africa Radio/ Tv
My take; Hata Mbuyu ulianza kama mchicha ππ₯
Kitu Msichokijua ni kwamba Waandishi wa Habari wengi sana ni 'mamluki,' wapo kwenye payroll ya wale jamaa!Balile ni CHAWA kama CHAWA wengine.
Chawa kama wewe huwezi kuelewa kwani unachoelewa ni kusifia tu.kwahiyo sasa hizo codes zinasaidia nini kwa mfano gentleman?π