Balile: Mzee Butiku aache uwoga atutajie majina ya Wauwaji wa Kibao aone kama hatutachapisha, aache kututukana Waandishi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana

Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama hayatachapishwa magazetini

Balile amesema mzee Butiku ana Tabia ya Kutukana Waandishi wa habari ilhali yeye mwenyewe ofisi yake ya Mwalimu Nyerere Foundation haijulikani inafanya kazi gani kwa sasa

My take; Hata Mbuyu ulianza kama mchicha 😂🔥
 
Source: East Africa Radio/ Tv

Ataje kama hawajambabuwa hospital kudadadeki
 
Balile naona kama vile kapanic na anaonyesha upeo mdogo sana dhidi ya Butiku!
Butiku aliongea kwa codes sana!
Aliposema " tunawajua" alimaanisha kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vinajua Kila kitu!
Kumbukeni kuwa Butiku naye ni " Nyoka" anajua anachosema.

Sasa akili za kichawa chawa kama za Balile haziwezi kumwelewa Butiku !
 
Ofisi yake ni tawi lisilojulikana 😊 😃 😀 😄 ukiingia hutoki kam Kashogi
 
Balile naona kama vile kapanic na anaonyesha upeo mdogo sana dhidi ya Butiku!
Butiku aliongea kwa codes sana!
Aliposema " tunawajua" alimaanisha kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vinajua Kila kitu!
Kumbukeni kuwa Butiku naye ni " Nyoka" anajua anachosema.

Sasa akili za kichawa chawa kama za Balile haziwezi kumwelewa Butiku !
kwahiyo sasa hizo codes zinasaidia nini kwa mfano gentleman?🐒
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana

Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama hayatachapishwa magazetini

Balile amesema mzee Butiku ana Tabia ya Kutukana Waandishi wa habari ilhali yeye mwenyewe ofisi yake ya Mwalimu Nyerere Foundation haijulikani inafanya kazi gani kwa sasa

Source: East Africa Radio/ Tv

My take; Hata Mbuyu ulianza kama mchicha 😂🔥
Balile ni chawa wa mama, apuuzwe tu.
 
Balile amekosa weledi. Hiii tasnia sijui kuna nani walio timamu!! Maana wengi wao ni shida tupu!

Butiku amesema wazi kuwa vyombo vya usalama vinawajua watekaji na wauaji.

Ukitaja kujua tuna wanahabari na vyombo vya habari vya hovyo, tukio la mauaji ya Ali Kibao limeongelewa sana, kwa uwazi na kwa mara nyingi na vyombo vya habari vya nje ya Tanzania kuliko vya humu ndani. Vyombo vya habari vya hapa ndani wanaona kazi yao ni kutangaza tu viongozi wa CCM wamesema nini, hata kama bayo yaliyosemwa hayana maana wala msaada wowote. Vyombo vyote vya habari Tanzania vimeamu kuwa vyombo vya propaganda vya CCM.
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana

Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama hayatachapishwa magazetini

Balile amesema mzee Butiku ana Tabia ya Kutukana Waandishi wa habari ilhali yeye mwenyewe ofisi yake ya Mwalimu Nyerere Foundation haijulikani inafanya kazi gani kwa sasa

Source: East Africa Radio/ Tv

My take; Hata Mbuyu ulianza kama mchicha 😂🔥
Balile ni CHAWA kama CHAWA wengine.
Kitu Msichokijua ni kwamba Waandishi wa Habari wengi sana ni 'mamluki,' wapo kwenye payroll ya wale jamaa!
 
Back
Top Bottom