johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana
Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama hayatachapishwa magazetini
Balile amesema mzee Butiku ana Tabia ya Kutukana Waandishi wa habari ilhali yeye mwenyewe ofisi yake ya Mwalimu Nyerere Foundation haijulikani inafanya kazi gani kwa sasa
My take; Hata Mbuyu ulianza kama mchicha 😂🔥