Balile: Mzee Butiku aache uwoga atutajie majina ya Wauwaji wa Kibao aone kama hatutachapisha, aache kututukana Waandishi!



NLIKUWA NAAMBIWA BALILE NI KILAZA LAKINI SIKUJUA KWA KIWANGO HIKI.
 
No, they're not bootlickers, they're secret spy agents. Take care.

Read the book titled "The Snake in Suits"
 
Balile hawezi kukubaliana na akili kubwa ya Butiku kwa sababu vyombo vyote vya habari ni matawi ya CCM na chawa wakubwa wa serikali. Kwa hiyo hawawezi hata siku moja kuandika habari ambayo iko kinyume na CCM au serikali hata kama habari yenyewe ina ukweli wa kiwango cha lami. ITV yenyewe hapo kila siku inarusha nukuu ya mama hamna cha maana wanachokitangaza.
 
Chawa kama wewe huwezi kuelewa kwani unachoelewa ni kusifia tu.
sasa Mzee kaambiwa ataje hayo majina na anachokijua kisha aone kama hao waandishi hawatakuchapisha wewe unaleta mihemko na makasiriko 🀣

eti codes 🀣
 
Hongera sana balile, wachache sana wataelewa hili, ni hakika kabisa hiyo taasisi inafanya kazi gani?

Pengine ndio inayoratibu hayo mambo,
Si mpaka kesho bado wanataka fikra zidumu? Waendelee kubakia madarakani milele na milele? Sasa watu wa hivyo si ndio watakuwa tayari kufanya lolote?

Yaani hapo umeifungua code vizuri sana
 
Pascal Mayalla muonye mwenyekiti wa jukwaa lenu ndugu Balile asijibizane na wazee wake.
 
Mzee Butiku Yuko sahihi, waandishi wa habari na media karibu zote wamegeukia uchawa. Ukisoma kurasa zote za mbele ni kusifu na kutukuza rais utadhani ni malaika aliyeshuka. Sijanunua magazeti kwa miaka sasa
 
Mnatutoa kwenye reli
 
Unataka Chawa Balile aongee tofauti akose safari za Mama!

Wewe huwajui wachumia tumbo kama Balile! Kwa upeo wake mdogo kama Mwijaku anaweza kumdhalilisha Butiku akidhani anamsaidia Mama!

Kwa summary ya press ya Butiku kwa mtu mwenye akili timamu ni kwamba
Butiku alitutaarifu kuwa Mama amepwaya na hakuna uwajibikaji katika Serikali yake!

Ndo maana Butiku aligusia kujiuzuru kwa Hayati Rais Mwinyi akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani!

Sasa leo watu wenye Silaha nzito wanaingia kwenye Basi mchana kweupe na kumchukua raia mwema na kumuua halafu Waziri Masauni anapeleka mashavu yake msibani eti anataka kuwahutubia waombolezaji!

Mama Abdul kapwaya, period!
 
Ni kweli waandishi wamekaa kichawachawa
 
Mimi naona kutetea waandishi wa habari, it's only a matter of defence, lakini alichosema Butiku nchicho kinachotokea. Media industry imebadilika sana. Hata ukisikiliza mijadala inayofanyika kwenye vyombo vya habari si ile inayo'address' people's pressing issues, bali mambo ya kawaida sana ambayo hata yasingehitaji mjadala wowote. Kuna vitu kujadili au kutovijadili hakuna impact yoyote kwa jamii, hivyo ni useless kuvijadili. Lakini mijadala kama hii ndiyo inayofanyika katika media outlets nyingi. Hivyo, Balile angeweza tu kusema lililosemwa tutalifanyia kazi na si kuwa defensive na kuanza kama kum'attack' Butiku.
 
Hajawatukana.Amewapa changamoto.Anawachangamsha ili wafanye investigative journalism. Ni ujinga wao kusubiri press conferences za polisi ndiyo waandike habari kwa jamii.Very shallow news!
 
Balile awe na heshima kidogo mzee butiku yupo sahihi,hii ni kazi ya waandishi kuchunguza na kufichua maovu katika jamii.angekuwa muwazi kuwa ata wao wanaogopa kutekwa na kufa.

Njaa tupu.. Wewe Boni yai anakuwa na taarifa zote za watekaji kabla ya waandishi wa habari? Wanaandika kwa kupata taarifa toka kwa Boni yai. Hatuna waandishi wa habari tuna machawa.
 
Well Noted Mkuu...
 
Huyu mzee tangu tupo shule tunasikia yeye ndio mwenyekiti wa kigoda cha mwalimu Nyerere,nani alimpa hicho cheo ,hakina mwisho ,ukiwa nacho wewe unakuwa mpinzani wa serikali.

Nashauri serikali impe kijana nafasi hiyo huyu mzee apumzike


USSR
 
Payroll kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…