Balile: Mzee Butiku aache uwoga atutajie majina ya Wauwaji wa Kibao aone kama hatutachapisha, aache kututukana Waandishi!

Amtajie yeye
Balile akiwa amekaa wapi na anafanya nini!?

Huyo Muhaya ni tatizo kwenye hii nchi!! Mashavu kama ya Masauni
 
Huyu mwandishi ni kenge magamba, wauaji ni polisi, idara ya intelijensia, na ccm
 
Huyu Balile ni chawa wa CCM,
Kwani siku hizi hakuna wandishi wa habari za uchunguzi? Ndio kazi Yao hiyo.
 
Mzee kayakoroga. Kimsinginilitakiwa Butiku tumie mkutano wake kukiasa chama chake maana ndio kimeshika dola. Sasa yeye akawa anapuyanga na wasio husika.
 
Butiku aliwafundisha waandishi namna ya kumuuliza maswali Masauni, sijui kwanini Balile amekuwa mkali.
 
Hii ni 15th July 1963 aliesimama nyuma ya mwalimu alikua ni butiku hapo ni ikulu ya marekani na huyo ni raisi wa marekani John F kennedy....
Nafikiria sana mwaka huo balile alikua wapi hadi ajibizane na katibu wa baba wa Taifa? Kuna Tatizo kubwa sana kwenye kuchagua viongozi wetu..
Hasa wa vyombo vya habari.....
 

Attachments

  • Screenshot_20240911-125225_Instagram.jpg
    963.8 KB · Views: 1
Wewe tutusa kama Balile tu.Laiti ungemsikiliza Mzee Butiku mwanzo mwisho usinge support huu ujinga wa Balile
sasa wewe tutuse SI kama kama Mzee wa codes waoga kama Hamas but wajuajiiiiiii🤣

sasa kuogopa kutaja anao wajua ili waachapishwe kwenye vyombo vya habari si ndio ujinga zaid wenyewe gentleman ?🤣
 
Mbona akina Bon yai na Mbowe wameeshayataja baadhi ya majina na hawajayachapisha? Jamaa wameshaingiliwa, mafala sana.
 
Balile=mchumia tumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…