Balile Chawa wa Mama mnafiki sana huyu!Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana
Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama hayatachapishwa magazetini
Balile amesema mzee Butiku ana Tabia ya Kutukana Waandishi wa habari ilhali yeye mwenyewe ofisi yake ya Mwalimu Nyerere Foundation haijulikani inafanya kazi gani kwa sasa
Source: East Africa Radio/ Tv
My take; Hata Mbuyu ulianza kama mchicha ππ₯
Anapenda kulamba makalio ya viongozi ila kwa JPM alichemka aache unafiki wake!