Balile: Mzee Butiku aache uwoga atutajie majina ya Wauwaji wa Kibao aone kama hatutachapisha, aache kututukana Waandishi!

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana

Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama hayatachapishwa magazetini

Balile amesema mzee Butiku ana Tabia ya Kutukana Waandishi wa habari ilhali yeye mwenyewe ofisi yake ya Mwalimu Nyerere Foundation haijulikani inafanya kazi gani kwa sasa

Source: East Africa Radio/ Tv

My take; Hata Mbuyu ulianza kama mchicha 😂🔥
Balile Chawa wa Mama mnafiki sana huyu!
Anapenda kulamba makalio ya viongozi ila kwa JPM alichemka aache unafiki wake!
 
Balile alipokua hapati chakula alikua anajifanya mwandishi wa maana kumbe ni debe tupu na kigazeti chake uchwara yaani kuna mtu ofisin analipwa kwa kazi ya kuhakikisha raia wako salama hafanyi kazi yake halafu mtu mwenye kuwaza kwa kutumia tumbo kama Balile anasema Butiku amuonyeshe!!! Nini maana ya Investigative journalism??? Wewe mwandishi Balile hovyo sana zero kabisa..Siku ndg yako akitekwa akauwawa utafurahi acheni ujinga .
 
nadhani balile alimuelewa zaidi, lakini pia wanahabari wengine walimuelewa sana na ndiyo maana waliokua wakijaribu kumchallenge kwa maswali mawili matatu nae akioanekana kupanic kidogo...

kwan ulitaka kusemaje gentleman kwa faida ya wadau? :pulpTRAVOLTA:
Unataka kunikopa maneno siyo! Sichokozeki ng'o!
 
Mzee Butiku kasema ukweli - waandishi baadhi wananunuliwa pamoja na vyombo vyao vinatumika kuandika propaganda za kutunga. Tuliona kuanzia Bandari, Loliondo nk

Mzee yupo sahihi kuhusu tasnia ya habari TZ - mjirekebishe.
Hakuna ukweli, ni ujinga mtupu
 
Balile, ulitakiwa umuulize hili swali kwenye press yake.
 
Balile naona kama vile kapanic na anaonyesha upeo mdogo sana dhidi ya Butiku!
Butiku aliongea kwa codes sana!
Aliposema " tunawajua" alimaanisha kuwa vyombo vya ulinzi na usalama vinajua Kila kitu!
Kumbukeni kuwa Butiku naye ni " Nyoka" anajua anachosema.

Sasa akili za kichawa chawa kama za Balile haziwezi kumwelewa Butiku !
Tanzania hatuna waandishi wa habari! Hata marehemu Ben Mkapa aliwahi kuwaponda! Sasa waandishi wenyewe ni hawa hawa walimu wa UPE akina Oscar Oscar! Wataandika habari gani?
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana

Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama hayatachapishwa magazetini

Balile amesema mzee Butiku ana Tabia ya Kutukana Waandishi wa habari ilhali yeye mwenyewe ofisi yake ya Mwalimu Nyerere Foundation haijulikani inafanya kazi gani kwa sasa

Source: East Africa Radio/ Tv

My take; Hata Mbuyu ulianza kama mchicha 😂🔥
Balile
 
Taasisi ya Nyerere ina kazi ya kusimamia haki za Watanzania wote, kama haki zao ya kuishi. Misingi ya kitaifa. Ni kweli waandishi wa habari wamekuwa waoga wanatishwa na kutishika na mkono wa serikali.
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana

Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama hayatachapishwa magazetini

Balile amesema mzee Butiku ana Tabia ya Kutukana Waandishi wa habari ilhali yeye mwenyewe ofisi yake ya Mwalimu Nyerere Foundation haijulikani inafanya kazi gani kwa sasa

Source: East Africa Radio/ Tv

My take; Hata Mbuyu ulianza kama mchicha 😂🔥
Balile ni musiba aliepoa yani ni chawa wa bi chura
 
Sijui hii Kofia ya Uwenyekiti wa Jukwaa alilipata vipi, maana jamaa huyu Balile hata ukimsikia katika mazungumzo yake kujadili mada huwa ni mweupe na mwepesi kabisa. Mimi nilivyokuwa nasikia jina Balile nilidhani ni bonge la Muandishi mwenye uwezo wa kuchambua na kutoa nondo, lakini baada ya kuwa nimemsikia tangu wakati huo nlimushusha. Aaache wenye weledi na uzelndo na nchi hii wakosoe uongozi yeye kama hawrezi kwa maslahi ya tumbo lake let him shut up. Mzee Butiku is beyond his level na kumbe ndio maana hata katika hili hawezi kumuelewa. Tumsamehe Bure Bwana Balile ni uwezo wake mdogo tu hawezi kumuelewa Mzee wetu. Natamani Generation ya Waandishi ya Calibre ya akina Jenerali Ulimwengu and the Likes.

Bro una point muhimu, ila ni vigumu kuzisoma weka paragraphs.
 
Hana akili ,wameambiwa wakawahoji beberu zaserikali yeye anakuja kinyunyume
 
Balile awe na heshima kidogo mzee butiku yupo sahihi,hii ni kazi ya waandishi kuchunguza na kufichua maovu katika jamii.angekuwa muwazi kuwa ata wao wanaogopa kutekwa na kufa.
Na kazi ya wachunguzi ni ipi?
 
Huyu mzee tangu tupo shule tunasikia yeye ndio mwenyekiti wa kigoda cha mwalimu Nyerere,nani alimpa hicho cheo ,hakina mwisho ,ukiwa nacho wewe unakuwa mpinzani wa serikali.

Nashauri serikali impe kijana nafasi hiyo huyu mzee apumzike

USSR
Kigoda tena na si Mwl Nyerere foundation?
 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana

Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama hayatachapishwa magazetini

Balile amesema mzee Butiku ana Tabia ya Kutukana Waandishi wa habari ilhali yeye mwenyewe ofisi yake ya Mwalimu Nyerere Foundation haijulikani inafanya kazi gani kwa sasa

Source: East Africa Radio/ Tv

My take; Hata Mbuyu ulianza kama mchicha 😂🔥
Huyo Balile aache ujinga wake na asithubutu kumrukia mzee butiku tena akome kabisa, huyo Balile ndio lile kundi la wapumbavu wanaotafuta ukuu wa wilaya kwa uchawa,huyu tumemtaka aje hapa kwenye jukwaa siku nyingi tu atuambie hawa watekaji wametoka wapi yeye lazima anawafahamu maana alituambia kupitia malumbano ya hoja pale ITV kwamba serikali ya awamu ya sita ya SAMIA watu Wana amani na furaha maana watu hawapotei tena na kutekwa kama wakati wa JPM, aache kurukaruka asituletee hadithi zake za kijinga hapa aje atueleze hawa watekaji wanaouwa watanzania wametoka wapi?
 
Back
Top Bottom