Mungu niguse
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 272
- 729
Balile na pascal Mayalla hawana weledi katika uandishi wa habari.
Naomba waendelee na siasa za kusifu na sio habari.
Naomba waendelee na siasa za kusifu na sio habari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hujasikia hizi habari zao kutaja kikosi kazi kwamba ndio sheria ? Ndio uelewa wao kwamba sheria iko juu ya katiba na si vinginevyo.Wamefanya nini
Ukituwekea weledi wako hapa na angalau Article moja tu ambayo umeandika na kuchapishwa katika gazeti lelote lile Duniani.Balile na pascal Mayalla hawana weledi katika uandishi wa habari.
Naomba waendelee na siasa za kusifu na sio habari.
Bahasha zina fanya kazi ukijumlisha na safari za DipiweldiHivi hujasikia hizi habari zao kutaja kikosi kazi kwamba ndio sheria ? Ndio uelewa wao kwamba sheria iko juu ya katiba na si vinginevyo.
Jana huyu Balile alinikwaza sana na maswali yake yasiyo na weledi. Kwa kweli hatoshi kukalia kile kiti- alipwaya.