Ball Possession Simba 62%-38% Yanga; unabondwa huku ukinyongwa

Tunabonda halafu tunanyongaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Waliozoea kunyanyasika siku walipata upenyo wanasherekea balaa... Jana nashukuru nimekula bure mbumbusu ya simba πŸ˜…πŸƒ
 
Walikuja na tageti ya kumzuia libase tu🀣🀣 halafu kwa dharau tukacheza 10 tu baada ya kipenzi cha wana simba dombia kuingia🀣
Ila dk za majeruhi Jana doumbia alipiga Ile save moja matata ya header uwanja mzima ukalipuka kwa shangwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…