Mechi 10
Yanga win 6
Simba wi 2
Draw ..........2.
Sasa hapa mm Wala siwezi kuumia kabisa😅.. ntaumia kufungwa na simba endapo itatufunga mara 7 mfulilizo ila hii mara Moja Moja ni kawaida na sehemu ya mpira... Sisi tuliwafunga na kuwafanyia tunachotaka....
Huyu nae ni shoga nn😅yaani kufuta takwimu za 32% hadi utopolo ifungwe mara sita?
Hizi porojo za kijinga uwage unawasimlia wa kwenu huko ...Arajiga ni tatizo Sana TU.
Ila sema alipewa onyo mapema Sana kwamba ya Kenya yanaweza kumfika
Alionywa kua watu uvumilivu umefika mwisho.
Hata Jana bado alikua anataka kuketa ujinga,ila bahati yake.
Simba imekua ikifungwa na yanga kwa mipango ya nje ya uwanja.
Mfano goli la Selemani mwalimu huko znz hata bodi ya ligi walilikubali na mwamuzi kupewa adhabu.
Ndo ukweli mbona una makasiriko,goli la Sele lilikua halali.Hizi porojo za kijinga uwage unawasimlia wa kwenu huko ...