Balozi Batilda Buriani: Mtoto aliyeandika Barua ya kuacha Shule, ana akili sana

Balozi Batilda Buriani: Mtoto aliyeandika Barua ya kuacha Shule, ana akili sana

Ila dogo kwenye iyo barua kuna sehemu alisema anaenda kufanya kazi za uvuvi,hapo kumshauri na dogo kurudi shule hawaoni wamemnyima haki yake ya kuwa mvuvi,huenda ameona hao waliosoma hawana kazi na yeye njia aliyoona ni kufanya uvuvi
Akija kukosa ajira,wanalo.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
KIJANA KAANZISHA MOVEMENT..

Nchi yetu huwa kuna revolutionary minds zinaibuka lakini hupotea kutokana na Watanzania tumejaa ubinafisi. Huyu kujana kawakilisha mamilioni ya watoto wanaishi mazingira magumu sana. Watoto hawa shule ni sawa na adhabu kwao.

Imagine miaka minne mwanafunzi anaishi kwa mateso..
Njaa
Viboko
Umbali
Kutoelewa darasani
Matatizo ya kifamilia etc.

Sasa kijana huyu anakosa back up. Tuko busy na kesi ya Mbowe na Safari za Hangaya.

We realy need to come out suporting these kinds of movements. Sijui wale watu wa haki za binadamu nao wako wapi.

Nina uhakika huyu mwanafunzi ana mengi ya kusema.
Upo sahihi. Nadhani hayo mateso ya watoto kuna watu yanawanufaisha

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Nampongeza sana dogo kwa maamuzi yake, amejitambua na kuweza kuchukua hatua ya kile alichokiamini.

Ila kuhusu uandishi fasaha ndio janga sana kwa kizazi hiki, sijui tatizo liko wapi...

Ukiangalia mwandiko wa mtu aliyeishia darasa la 4 la mkoloni ni mazuri sana, achilia mpangilio wa barua(ama ya kikazi au kirafiki, ambapo muundo wa uandishi hifundishwa tangu shule ya msingi) mwandiko umenyooka na mzuri sana.
Siku hizi tunatype mkuu hatuandiki.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Week ya 4 au 5 tu ya kidato cha kwanza kwa mtu aliyetoka darasa la saba kijijini atajua Kiingereza?
Watu muliozaliwa na kuishi mijini pekee inaonesha hamjui kabisa hali ilivyo vijijini huko( ingawa siyo vijiji vyote)

..sijamlaumu dogo, bali nailaumu serikali.

..elimu inayotolewa maeneo mengi ya vijijini ni ya kiwango cha chini kupita kiasi.
 
"MTOTO ALIYEANDIKA BARUA YA KUACHA SHULE ANA AKILI SANA" RC TABORA

"Niliongea na mkuu wa mkoa wa Mtwara baada ya kuona barua ya mtoto aliyetaka kuacha shule, nikamwambia huyu mtoto ana akili sana kwasababu haiwezekani mwanafunzi mtoro aandike barua kama hiyo, nikamwambia mkuu wa mkoa wa Mtwara mtafute huyu mtoto na kweli amemtafuta na kutatua changamoto zake na sasa amerudi shule mwenyewe, kwahiyo walimu wasaidieni watoto kuwajenga kisaikolojia"-Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Batilda Buriani katika kongamano la walimu na uchumi.

Taufiki Salumu mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Msimbati Mkoani Mtwara ambaye aliandika barua ya kuacha shule kwa mwalimu mkuu wa shule hiyo amesema lengo kubwa la kutaka kuacha shule ni hali ngumu ya maisha ambayo imemlazimu yeye kuchukua maamuzi hayo.

Chanzo cha habari ni CGFM Tabora

Pia, soma:

1). Mtwara: Mwanafunzi wa kidato cha 1 aandika barua kwa Mwalimu Mkuu akisema Shule imemshinda

View attachment 2132031View attachment 2132032View attachment 2132033
sasa hapo akili yake ipo wapi haswa?
 
Sijasikia popote ukizungumziwa ule mstari wa mwisho

"Vikadi allitugaia mwalimu mkuu msaidizi"

Vilikuwa vikadi vya Nini? Au hivyo 'vikadi' ni Nini hasa?
Ferruccio Lamborghini ametupa code kiaina, itakuwa hivyo ni vikadi vya msosi, dogo akifikiria diko na hali ya home uwezo wa kulipa mchango ni chechenizim akaona isiwe kesi naandika punch kisha natupa pen chini. Lazima kaandikiwa msamaha aweze bonya free of charge baada ya hilo tukio.
 
Back
Top Bottom