Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Ni kada isiyothaminiwa na Nani ?... halafu ndio kada isiyothaminiwa sana! Dah! Dogo anamhakikishia Mwalimu Mkuu kwamba HATANII! Ha ha ha!
Ulitamani ipewe thamani kama kada ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kada isiyothaminiwa na Nani ?... halafu ndio kada isiyothaminiwa sana! Dah! Dogo anamhakikishia Mwalimu Mkuu kwamba HATANII! Ha ha ha!
Mbona wapo wenye akili nyingi lakini miandiko mibaya hauwezi kupewa vyoteBright with poor handwritting
Huo ni mtazamo hasi. Hakuna uhusiano wa intelligency na mwandiko, pamoja na hiyo profession yako usiseme uongo, tumesoma na tumeona wengi tu wenye miandiko mizuri na hamna kitu na wenye mibaya na wako vizuri.Mi ni mwalimu by profession. Moja ya dalili ya intelligent person ni poor hand writing.
Hata hayo unayotaka apewe kama siyo intelligent utaliwa na papa tu. Msidharau shughuli za watu.Huyu alikuwa wa kupewa boti na nyavu tu..
Nimedharau shughuri gani? Mbona kama unanibandikia matendo na maneno?Hata hayo unayotaka apewe kama siyo intelligent utaliwa na papa tu. Msidharau shughuli za watu.
Mnalishwa maneno na watu wanao pigia debe miradi yao na nyie mbaingia kuchwa kuchwa , kwani kabla ya hizo taulo za kike walio soma walisomaje? Kifup sijawahi kusikia bint kaacha shule kwa sababu ya kukosa taulo za kike zaid ya kusikilizia uzushi wa wapigania kombe kwa malengo yao .... by bhe way, unadhani kinachopelekea madogo kuona shule kama vituo vya mateso ni mambo makubwa? Sana sana utakuta ni msosi, ukatili wa walimu, taulo kwa watoto wa kike, na wachache sana hata wafanyeje mambo yamegoma kabisa "kupanda".
Hawana madai makubwa sijui school buses, wala nini; ni vitu vidogo vidogo sana ila ni vya msingi sana.
No one said that's why I wrote bright with poor handwritting have you discover that?Mental slavery....who said brightness are maesured by looking handwriting
Hao waliosoma sana wanakitu gani maishani mwao,ni heri kujifunza fursa mapema ukaizoea,wewe huoni wahindi wanavyofanya kwa watoto wao,ama wewe ulishawahi kuona wapi ajira ikatoka serikalini katika kugombea ukaona mtoto wa kihindi akipanga foleni kwenye kufanya usailiMwache asome atakuwa mvuvi wa watu
Nampongeza sana dogo kwa maamuzi yake, amejitambua na kuweza kuchukua hatua ya kile alichokiamini.Bright with poor handwritting
Unadhani wahindi hawasomi au kwa vile huwaoni kwenye shule zenu za kata,wana shule zao,almuntazil,aga khan,shaaban robert,kisutu,upanga na vyuo wanasomea canada ,uk,usa.jidanganyeHao waliosoma sana wanakitu gani maishani mwao,ni heri kujifunza fursa mapema ukaizoea,wewe huoni wahindi wanavyofanya kwa watoto wao,ama wewe ulishawahi kuona wapi ajira ikatoka serikalini katika kugombea ukaona mtoto wa kihindi akipanga foleni kwenye kufanya usaili
Waswahili wanaamini hivyo kwa mtu "bright" na mifano hutolewa sana kwa Madaktari!🤣🤣Bright with poor handwritting
Uvuvi. Uvuvi siyo kitu kinafanywa na kila mtu tu. Ina ufundi wake ambao ni lazima ufundishwe kama zilivyo fani nyingine zoteNimedharau shughuri gani? Mbona kama unanibandikia matendo na maneno?
..sidhani kama Dr.Batilda alikuwa na nakala ya barua ya mtoto aliyeacha shule kabla hajatoa kauli kuhusu mtoto huyo.
..Form 1 lakini anaandika kwa kiwango cha chini sana.
..huyo mwanafunzi tatizo lake sio muandiko tu, bali hata kupangilia maneno, na kuandika kwa ufasaha, hawezi.
Kabisa....hajui hata format ya Barua ,SoMo alilofundishwa darasa la nne!Naona Watu wanapoteza pointi ya msingi ya hili suala.
Ni bora kukaa kimya na kutafakari badala ya kila Mtu kukimbilia kutoa hitimisho kwa hisia binafsi.
Huenda kila mmoja akawa na tafsiri yake ya kumtambua Mtu 'smart' lakini vipi kama tutadhani smart ni yule anayefikiri shule/elimu ndio inaweza kumkomboa yeye na wanaomzunguka?.
Nimeiona na kuisoma hiyo barua na sioni dalili yoyote ya kuonesha kama yupo smart (kupitia hiyo barua)...labda kama kuna taarifa nyingine nyuma ya pazia ambazo bado hatujazijua ambazo labda Mh anazifahamu...kinyume cha hapo tusimpumbaze yeye na wanaomzunguka.
Labda tuone u smart wake kwa namna alivyoamua kuvunja ukimya na kutoa la moyoni ambapo sasa sisi wengine tukae chini na kutafuta kuna nini kinaendelea?..kwa Kijana wa kidato cha kwanza (kama inavyosemekana ) kuandika hivyo basi ni dalili tosha kuwa Walimu hawakufanikiwa kumfundisha..au la labda ni mtoro kupita kiasi mpaka anashindwa kujifunza.
Na je hatudhani pia kuwa Wazazi wake nao ni tatizo?. huenda wao hawajasoma na hivyo hawaoni umuhimu wa Mwana wao kusoma.
Na kwa upande mwingine kama Mtoto anaona masomo yanamchanganya na kumpotezea muda hii ndio iwe chachu ya kuona umuhimu wa kuwa na elimu mbadala badala ya kulazimishana na mifumo ya elimu tuliyorithi kwa Wakoloni.
Vipi kama huyu sasa akaanza kuandaliwa kwa kupewa elimu ya uvuvi ya nadharia na vitendo?..ni kama ni sahihi nilivyosikia kuwa anatamani akafanye uvuvi.
Kwa karne hii hili si jambo la kushadadia bali ni kurudi nyuma na kujiuliza iweje 2022 Jamii bado haioni umuhimu wa elimu?.
Ni kama huyu kijana alieomba kazi NASA"MTOTO ALIYEANDIKA BARUA YA KUACHA SHULE ANA AKILI SANA" RC TABORA
"Niliongea na mkuu wa mkoa wa Mtwara baada ya kuona barua ya mtoto aliyetaka kuacha shule, nikamwambia huyu mtoto ana akili sana kwasababu haiwezekani mwanafunzi mtoro aandike barua kama hiyo, nikamwambia mkuu wa mkoa wa Mtwara mtafute huyu mtoto na kweli amemtafuta na kutatua changamoto zake na sasa amerudi shule mwenyewe, kwahiyo walimu wasaidieni watoto kuwajenga kisaikolojia"-Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Batilda Buriani katika kongamano la walimu na uchumi.
Taufiki Salumu mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule ya sekondari Msimbati Mkoani Mtwara ambaye aliandika barua ya kuacha shule kwa mwalimu mkuu wa shule hiyo amesema lengo kubwa la kutaka kuacha shule ni hali ngumu ya maisha ambayo imemlazimu yeye kuchukua maamuzi hayo.
Chanzo cha habari ni CGFM Tabora
Pia, soma:
1). Mtwara: Mwanafunzi wa kidato cha 1 aandika barua kwa Mwalimu Mkuu akisema Shule imemshinda
View attachment 2132031View attachment 2132032View attachment 2132033
Elimu bure bado nikikwazo kwa mtanzaniaKwahiyo RC wa Mtwara bila kuambiwa na RC Batilda asingechukua hatua yoyote!
Nchi ngumu sana.