Balozi Dau aletwe Bandari/TPA?

Only two people ndio walipaweza pale
NGAMILO NA JENGUO huyu mzaramo acha kabisa......Nyerere anamjua vyema sanap
 
Sana, huyu jamaa ni kimeo sana. NSSF aliifanya ikawa taasisi ya kiislamu.
 
Kumbe na argue na mdini, bye!
 
Inawezekana kumleta Balozi Dau kuendesha Bandari baada ya mabadiliko ya leo? Kwanini hii taasisi imekuwa shida sana kuisimamia?
Mzee si inadaiwa Dau ni mpigaji sana halafu Mdini(anapendelea waislamu)....unataka kuchafua hali ya hewa...?
 
Hata mwendazake mkuu....?
 
Correct, na infact kabla ya kwenda NSSF alikuwa Director wa marketing pale bandari mpaka mwendazake Mkapa alipompa u DG wa NSSF...
Mzee Mkapa alikuwa akipenda kubadili kile kifupisho cha Ramadhan Dau ( R&D) kwa utani na kumuita Research and Development maana kila anachoshauri basi attachment yake ni research sio blaaa blaa!
 
Mzee si inadaiwa Dau ni mpigaji sana halafu Mdini(anapendelea waislamu)....unataka kuchafua hali ya hewa...?

Waislam gan Tena,na nyinyi mnasema kuwa waislam hawana shule...

Hao alokuwa anawapendelea hapo Nssf ni wepi sass,maana huko Taasisi zingine zoote zimejaa makanisa tuh
 
Waislam gan Tena,na nyinyi mnasema kuwa waislam hawana shule...

Hao alokuwa anawapendelea hapo Nssf ni wepi sass,maana huko Taasisi zingine zoote zimejaa makanisa tuh
Mkuu hujasoma maoni ya wadau humu, nilichofanya ni kufafanua kwamba unaposemwa udini basi ujue anasemwa Muisiramu hapo...yaani ukisikia pale pana udini sana maana yake hapo pana MAISIRAMU wengi...
 
Yani watu wanapenyeza majina kupitia wasaidizi wa Mama ili warudishwe walikokuwa wakifanyakazi hapo nyuma?!

Sasa mama hajiulizi kwanini Huyu mtu atake kurudi alikokuwa ameshafanya kazi?

Hamjiulizi anataka kwenda kumkomesha nani kule?

Je watumishi wataenda kumpokeaje ujio wake?

Au ana maana gani?

Kwanini hamjiulizi mara 2-3 ?

Yani siku hizi unataka kuwa mtindo.

Mungu amsaidie Mama kustuka na kupata busara ya ku deal na watu wa namna hiyo aisee?’!
 
Hakika sindano hiz zimemuingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…