Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Kwa mtaji huu, sidhani kama Samia ataenda Marekani kipindi hiki cha Trump.
Binafsi naombea aende ili watu tupate fursa ya kumrushia mayai viza na kumtukana kwa kutumia vipaza sauti na ikiwezekana hata na kumfanyia mengineyo zaidi ya hayo 😉.
Fedhuli Samia akae akijua kwamba damu za maelfu ya Watanzania alizozimwaga hazitakauka wala kusahaulika na atawajibishwa tu kwa njia zozote zile zitakazohitajika.
Mcheki hapa balozi mtarajiwa alipokuwa akijibu maswali mbele ya kamati ya mambo ya nje ya bunge la seneti.
View: https://youtu.be/IwqpF3RcnDQ?si=J7n5b5R9dh4il5Ql