Huyu ndo balozi mtarajiwa wa Marekani nchini Tanzania….

Huyu ndo balozi mtarajiwa wa Marekani nchini Tanzania….

Tanzania posses deposit of Nickel, Graphite and Rare earth minerals which are significant to US national security? Not Tanzania?
Kwa ajili ya waliopo madarakani wanaweza kuzi fanyia kazi zikawa na manufaa ya kiusalama , ukiwa Bandari Tu unaambiwa hamuwezi. Sasa hivi bwawa la Nyerere tunatumia 40% .
Mwendokasi halijojo.
 
😂

Atakuwa anazunguka kwa akina Kagame na Museveni tu na labda kule Oman kwa wajomba zake.

Hapo kwa Ruto nina mashaka maana Wakenya wameamka!

Juzi, jana, na leo wamemponda sana kwa kauli yake aliyoitoa.

Akikanyaga Kenya watampokea kwa mabango.
Ndio maana umeona Euro ndio kaja Bongo, Hata M7, maana Ukumbuke alibaka Yule Dada wa Kiganda, sadc naki wamemkataa
 
Huyo malaria nae hana tofauti na hao makafiri, kwa maana anapinga mauaji anayofanya Netanyahu huko gaza alafu anafurahia maauji ya hapa bongo yanayofanywa na samia

Hata wewe pia unapinga yanayofanywa na Netanyahu huko gaza alafu hapa bongo ni shabiki wa yanayofanywa na Samia
Sehemu kubwa ya wachangiaji humu jf ukitaka kuwatoa kwenye reli waletee mambo yanayohusu mzozo wa mashariki ya kati !
Hii maana yake ni kwamba watu ni wadini wadini sana kiasi kwamba huwa wanasahau hata kile ambacho wanadai wanakipigania !
Waswahili Wanasemaga vita vya panzi furaha ya kunguru !
 
Ushirikiano wa jumuia ya kimataifa kuhakikisha Samia anawajibishwa, unakaribishwa.

Wanakaribishwa na wewe.

Wengine tunakataa kuwa wide eyed and naive, wasitufanye masakala na mapoyoyo.

Tunajaribu kumfukuza Samia, watu wamekufa wakijaribu kumpinga na kumfukuza Samia kwa sababu anagawa bure, anajimilikisha, anatapanya rasilimali za Tanganyika.

Hatuwezi kubweteshwa na balozi wa Marekani anaetangaza wazi wazi kipaumbele chake cha kwanza ni anakwenda Dodoma kupitisha sheria za kurahisisha Marekani kujichotea mali zetu kwa jina la uwekezaji.

Haki za kiraia, uchafuzi wa uchaguzi, utekaji na mauaji KWA MAELEZO YA BALOZI KWA UWAZI NA UDHAHIRI, EXPLICITLY AND EXPRESSLY, SIO KIPAUMBELE CHAO CHA KWANZA. KASEMA KWANZA WANATAKA MADINI YA TANGANYIKA. HUWEZI KU LOBBY SHERIA ZA MADINI ZILAINISHWE HUKU UMEMKAZIA SAMIA! UNATUFANYA MANDONDOCHA NA MAPUNGUANI.

HATUWAKARIBISHI NA HATUWASUBIRII WAMAREKANI.

WAANDAMANAJI WA IRAN WAMEJIFUNZA
WATU WA ULAYA WAMEJIFUNZA
ZELENSKY WA UKRAINE AMEJIFUNZA.

HATUWATEGEMEI
HATUWASUBIRII
HATUWAKARIBISHI

WAHUNI WANAOSEMA WANATAKA KUTUSAIDIA ILI WAJIMILIKISHE RASILIMALI ZA TAIFA. HIYO NDO SABABU TUNAULIWA TUKIJARIBU KUMPINGA NA KUMFUKUZA SAMIA HASSAN.
 
Back
Top Bottom