CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Kwa kiburi chake samia atamkataa huyo Balozi.
Mbona Trump unamwita Rais na kumtetea sana ktk mitandao huku akishiriki mauji ya Iran, Gaza, nk? Au kwa sababu imani yenu moja?NB: Mimi nimegoma kumuita huyo Samia, Rais.
Yeye siyo Rais. Ni mtawala wa mabavu aliyetapakaa damu za Watanzania.
Wewe jamaa ni mpuuzi sana muda wote unawaza udini tu na ukitoka hapo unaenda kula nguruweMbona Trump unamwita Rais na kumtetea sana ktk mitandao huku akishiriki mauji ya Iran, Gaza, nk? Au kwa sababu imani yenu moja?
Wanamtetea Natanyahu kwa mauaji ya Gaza na wanamsifu kua hawezi kukamatwa na Mahakama ya ICC halafu hao hao wanakuja kuililia hiyo hiyo Mahakama ya ICC,Mbona Trump unamwita Rais na kumtetea sana ktk mitandao huku akishiriki mauji ya Iran, Gaza, nk? Au kwa sababu imani yenu moja?
Umepuyanga, hatujawahi kupata rais kilazaa kama awamu hii!Nilichojifunza
Watu waliokuwa wanamuaminisha raisi waristo hasa wakatoliki wanamchukia, hawamtaki kwa ajili ya uislam wake na uzanzibari wake walifanya kosa kubwa Sana.
Bahati mbaya mwenyewe aliamini hivyo, ni vile akagusia kwenye hotuba yake na wazee wa Dar.
Akaacha yawepo mazingira yaliyopelekea hao waliomuaminisha waanze kushambulia na kudhalilisha mapadri akina Fr. Kitima na wachungaji kama Gwajima na wangine waliokimbia nchi.
Nadhani kuna kosa lilifanyika kwenye uteuzi wa washauri wake kwenye idara kadhaa na ofisini kwake.
Sasa zile persecution walizofanyiwa wakristo zimewaingia kichwani wazungu. Taswira ya nchi imechafuka sana.
Tunaonekana tumechukua muelekeo wa Boko Haram au Janjaweed. Au makundi ya Islamic State (ISIS). Itatuchukua muda mrefu na kazi kubwa sana kujiondoa kwenye microscope ....
Wamagharibi siyo wakristo kihivyo Ila ukiugusa ukristo watakushukia kwa kasi. Waisrael pekee ndiye wanaweza kuwanyanyasa wakristo na kusiwe na madhara makubwa kwao.
Wapi nimemtetea sana Trump?Mbona Trump unamwita Rais na kumtetea sana ktk mitandao huku akishiriki mauji ya Iran, Gaza, nk? Au kwa sababu imani yenu moja?
Kuna uzi ulianzisha kwa mauaji aliyo yafanya Trump kwenye shule ya watoto Iran na kuua watoto zaidi ya 110? Minal schoo attack?Wapi nimemtetea sana Trump?
Uweke hapa huo uzi……Kuna uzi ulianzisha kwa mauaji aliyo yafanya Trump kwenye shule ya watoto Iran na kuua watoto zaidi ya 110? Minal schoo attack?
US ameua watu wangapi wasio na hatia World wide? unapolaani mauaji ya aina yeyote yale hutakiwi kuweka ushabiki mbele au kulaani kwa misingi ya udini,siasa na mengineyo,unapoamua kutetea haki za binadamu unatakiwa uwe fair kwa watu wote coz what goes around comes around,
Punguza unafiki wakijinga.
Huyo kibwengo muda wote anawaza udini tu.Wapi nimemtetea sana Trump?
Soma tena comment yangu na uielewe kwanza,Uweke hapa huo uzi……
Weka hapa huo uzi.Soma tena comment yangu na uielewe kwanza,
Pia zingatia matumizi ya question mark ili kuielewa hiyo comment yangu uliyoiquote.
Mbona unakua na akili nzito kama mtoto wa darasa la pili?Weka hapa huo uzi.
Uzuri wa demokrasia ndio huo kwamba kila mtu ana mawazo yake,ana uamuzi wake na ni muhimu sana kuwaheshimu kwa mawazo yao.Sasa muhimu sana na wewe ukubali kuwa kuna watu,huyo unayemkataa,unayemwita fedhuli,kwao ni malaika,ni shujaa na ni mzuri sana.NB: Mimi nimegoma kumuita huyo Samia, Rais.
Yeye siyo Rais. Ni mtawala wa mabavu aliyetapakaa damu za Watanzania.
Main message, ipate hii. Nimewaona waTanzania wengi, siyo wewe tu, wapo vizuri sana, wakiwa back bench, wao ni kuongea sana, kuandika, na unaweza kuwa-rate juu sana, sasa waambia jitokeze uongee kama anavyoongea Lisu utashangaa "nywiiiiiiii"; hiyo ndiyo taabu, andika na fanya.Mimi nipo Detroit? Ushawahi kuniona huko Detroit wewe?
Punguza ujuaji kenge wewe.
Dini kitu kibaya sana, inaondoa mila zako halafu inakufanya uwe VICTIM wa Cultural Imperialism; ati jitu jeusi la bongo, lnamwita mweusi mwenzio ati kafiri! Kwa neno la kiarabu zamani mtuu ambaye ni kafiri ni asiye na dini, lakini kwa wakati huo mtu yeyote utokaye Afrika ni kafir. Waulize waarabu wenyewe, kidogo hata kwenye mila zao wanakuona kwanza wanakuona kafir. Ukiulizwa wewe Dini gani-hapo kidogo wanaona aibu ati wanakukaribisha, lakini siyo kwa yote, ukafir wako upo palepale; ukiwauliza wanasema HISTORTY.Makafiri ndio walivyo,angalia wanamtetea Natanyahu kwa mauaji ya Gaza na wanamsifu kua hawezi kukamatwa na Mahakama ya ICC halafu hao hao wanakuja kuililia hiyo hiyo Mahakama ya ICC,
Unapopinga maovu au mauaji yeyote yale,hutakiwi kuweka mbele ubaguzi wa aina yeyote ile coz unayoyafumbia macho leo ipo siku yatakurudia na wewe.
Hata kumsema mwenzake kuchelewa hadharani! Kidiplomasia ni blunder.Kitengo cha mawasiliano Ikulu either kimeshindwa kazi yake au hakisikikizwi.
Kauli dhidi ya wanaompinga katika ziara ya Rais wa Kenya ilibeba udhaifu uliopitiliza.
Ana akili ya kuchapa mikwaju na ukatili mwingine. Bila ukatili Maisha hayaendiHuyu Samia ni mshenzi na mpumbavu mkubwa, ameshawaua watanganyika na ameona hakuna wa kumfanya lolote. Anaendelea tu kuua.
Hii ni 90 % wako nayoNB: Mimi nimegoma kumuita huyo Samia, Rais.
Yeye siyo Rais. Ni mtawala wa mabavu aliyetapakaa damu za Watanzania.
Alimkoromea Ramaphosa kwa sababu aliamini alikuwa ana wakandamiza wazungu. Hutamsikia akitia neno kuhusu yanayowapata waafrika wageni Afrika Kusini. Hao wengine ni kuwa aliona kama wamemdharau yeye binafsi. Na hata reaction yake ilikuwa measured kwa sababu ni wazungu wenzake. Hatafanya lolote la maana kuwatetea raia weusi wa nchi anazo ziita "shithole" countries. Akipewa access kwenye hayo madini atasahau yaliyotokea Oktoba 2025. Yeye anaangalia anavyoweza yeye mwenyewe kufaidika halafu nchi yake. Akikaribishwa kujenga Golf Course na hoteli Ngorongoro au Serengeti ataukumbatia utawala wa sasa.Maybe, maybe not.
Hatabiriki huyo. Si uliona alivyomfanyia Ramaphosa…..si uliona alivyomkoromea Zelenskyy….
Si unaona anavyowarushia madongo akina Keir Starmer, Chancellor Metz, Giorgia Meloni, na Macron?
Na hao ndo closest allies wa US.