Wo shi niubi
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,503
- 2,156
Yule muuaji ni mbumbu mkubwa mno, mimi naweza sema ni jinga la karne, ameenda kujiundia tume za kijinga na kujisifia, dunia kote ukweli unajulikana kaua watu wengi kwa ulimbukeni wake. Pia aliendesha kampeni ya kuteka na kuua mapadri huku akiwatupa na kuwaokota mipakani mwa nchi halafu ana sema ohh Ameuliwa kwa wivu wa mapenzi. Hakuishia hapo kafunga makanisa yote ambayo yalikuwa yanamkosoa.
Hakuchoka Idd Amin wetu wa Tanzania, kaanza kuteka raia na wapinzani na kuwapa kesi za kumfurahisha Idd Amin wa Tz.
Yule muaji wenu ni empty set, atapata shida kubwa sana labda afie madarakani.
Hakuchoka Idd Amin wetu wa Tanzania, kaanza kuteka raia na wapinzani na kuwapa kesi za kumfurahisha Idd Amin wa Tz.
Yule muaji wenu ni empty set, atapata shida kubwa sana labda afie madarakani.