Balozi Nchimbi: Kikokotoo ni kero kubwa, nitamfikishia taarifa Rais Samia

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi ameahidi kuifikisha hoja ya kikokotoo kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwaajili ya utatuzi akisistiza imekuwa kero kubwa kwa wastaafu.

Pia amewataka waliopewa zabuni ya kujenga Uwanja wa Ndege wa mkoani Rukwa kuongeza kasi ili kuendana na matakwa ya mkataba.Nchimbi ameyasema hayo leo mkoani Rukwa, alipokagua maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo na kisha baadaye kufanya mkutano wa hadhara na wananchi ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kutembelea mikoa sita.

"Tatizo la kikokotoo linalalamikkwa sana na watumishi, imekuwa kero kubwa Kuna muda lazima tuangalie wananchi wetu, wanachama wetu, tuangalie tutafika wapi lakini kwa kadri inavyowezekana tunapaswa kutatua kero za wananchi," amesema na kuongeza kuwa;
 
Huo muswada ilitungwa na Serikali, ukaletewa bungeni, wawakilishi wa wananchi wakaupitisha, ukarudi Kwa Rais akausaini ukawa Sheria,

Leo wabunge hao hao wanalalamika, viongozi wa chama pia wanalalamika baada ya kustuliwa na maumivu ya wananchi,

Swali hapo ni:

Serikali, Bunge, wanasimamia Maslahi ya akina nani?
 
"Tatizo la kikokotoo linalalamikkwa sana na watumishi, imekuwa kero kubwa Kuna muda lazima tuangalie wananchi wetu, wanachama wetu, tuangalie tutafika wapi lakini kwa kadri inavyowezekana tunapaswa kutatua kero za wananchi," amesema na kuongeza k
uwa;
1. KWANI sAMIA HAJASIKIA MALALAMIKO KUHUSU KIKOKOTOO? Uhuni tu
2. kwani malalamiko ya sheria za uchaguzi amesikiiza kilio cha wadau?
3. Bandari?
4. Wamasai:?
5. Misitu kuuzwa
6. CAG reports
etc etc

ndiyo atasikiiza hili? nchimbi unawadanganya watoto wenzio?
 
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi ameahidi kuifikisha hoja ya kikokotoo kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwaajili ya utatuzi akisistiza imekuwa kero kubwa kwa wastaafu.

Pia amewataka waliopewa zabuni ya kujenga Uwanja wa Ndege wa mkoani Rukwa kuongeza kasi ili kuendana na matakwa ya mkataba.Nchimbi ameyasema hayo leo mkoani Rukwa, alipokagua maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo na kisha baadaye kufanya mkutano wa hadhara na wananchi ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kutembelea mikoa sita.

"Tatizo la kikokotoo linalalamikkwa sana na watumishi, imekuwa kero kubwa Kuna muda lazima tuangalie wananchi wetu, wanachama wetu, tuangalie tutafika wapi lakini kwa kadri inavyowezekana tunapaswa kutatua kero za wananchi," amesema na kuongeza kuwa;
Watengeneza tatizo ndio wataatua tatizo hii nchi Ina vichekesho sana aiseee
 
Ccm ya imewafanyia kitu mbaya Sana wastaff.
 
"Tatizo la kikokotoo linalalamikkwa sana na watumishi, imekuwa kero kubwa Kuna muda lazima tuangalie wananchi wetu, wanachama wetu, tuangalie tutafika wapi lakini kwa kadri inavyowezekana tunapaswa kutatua kero za wananchi," amesema na kuongeza kuwa;
Kama mlikiweka makusudi na mtakirudisha kwa ajili ya kura basi hamtendi haki
 
Huo muswada ilitungwa na Serikali, ukaletewa bungeni, wawakilishi wa wananchi wakaupitisha, ukarudi Kwa Rais akausaini ukawa Sheria,

Leo wabunge hao hao wanalalamika, viongozi wa chama pia wanalalamika baada ya kustuliwa na maumivu ya wananchi,

Swali hapo ni:

Serikali, Bunge, wanasimamia Maslahi ya akina nani?
wawekezaji
 
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM) Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi ameahidi kuifikisha hoja ya kikokotoo kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwaajili ya utatuzi akisistiza imekuwa kero kubwa kwa wastaafu.

Pia amewataka waliopewa zabuni ya kujenga Uwanja wa Ndege wa mkoani Rukwa kuongeza kasi ili kuendana na matakwa ya mkataba.Nchimbi ameyasema hayo leo mkoani Rukwa, alipokagua maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo na kisha baadaye kufanya mkutano wa hadhara na wananchi ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kutembelea mikoa sita.

"Tatizo la kikokotoo linalalamikkwa sana na watumishi, imekuwa kero kubwa Kuna muda lazima tuangalie wananchi wetu, wanachama wetu, tuangalie tutafika wapi lakini kwa kadri inavyowezekana tunapaswa kutatua kero za wananchi," amesema na kuongeza kuwa;
Si chochote wala si lolote.
Ni unafiki Tupu.
Kwani hicho kikokotoo kimeletws na nani?
 
Safi kabisa,hii ndo ccm,chama kinachojari raia wake,longlive comrade Nchimbi
 
Mh. Katibu Mkuu, Dkt Nchimbi Mungu akulinde milele, wastaafu watakushukuru mnooo na Mwenyezi Mungu atakulipa, jua tu ni CCM wabunge hao ndio walipitisha ila sbb sasa utapeleka kero hiyo kwa Mwenyekiti wetu Mh. Rais Samia, naamini kikokotoo cha zamani kitarudi hasa kwa wale wa PSPF zamani mfano na utaokoa maisha ya wastaafu wengi sana.
 
CCM itaendelea kuwachezea hivo hivo. Haina mpango wa kuwaoa.
 
Mambo ya kushangaza.
Ina maana rais alikua hajui kikokotoo kinawaumiza watu all this time?
Jamani nopeni kazi ya kumshauri rais kuhusu kero za wananchi
 
Back
Top Bottom