Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
- Thread starter
-
- #21
Kama ulimsikiliza vizuri gwajima wakuu zaidi ya watatu wa idara ya usalama wameondolewa katika nafasi zao katika kipindi kifupi sana cha utawala wa Samia unajua maana yake ni nini? Amewekwa mtu wa usalama atakaekubali kwenda na mfumo unavotaka. Gwajima alipotoka ushauri Rais apunguziwe mamlaka ya kuwaondoa wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama serikali ya Samia ikavamia kanisa lake Kufunga na kuwakamata waumini .Yaani Hadi hamuhuri inatekwa na watu wanausalama wanafanya nini!!?
Ingia YouTube inasikika vizuristream ya leo imegoma goma sana --- anahujumiwa kwenye sekta gani
Unadhani polepole alikuwa halambi asali?Acheni kelele uchwara zenu
Tafuta chimbo ulambe asali
Uwezekano mwingine ni kwamba anasikia, anaona na anaelewa ila ndio hivyo unaweza kuta amewekwa mtu kati na 'maboss' zake anajikuta hana cha kufanya, as long as na yeye anafaidika anaona ya nini miee!Wahuni siyo watu wazuri hata kidogo! Sijui wamemlisha nini Bibi yetu wa Kizimkazi. Maana hasikii, haoni, haelewi!!
Alimuona anataka kumpanda kichwani kama anavyompanda Samia. Magufuli alivoingia alifanya ambayo wanamtandao hawakuyatarajia. Walidhani atakua mwenzao.Kwa nini Magu alisema mhuni anawashwawashwa?
ExactlyUwezekano mwingine ni kwamba anasikia, anaona na anaelewa ila ndio hivyo unaweza kuta amewekwa mtu kati na 'maboss' zake anajikuta hana cha kufanya, as long as na yeye anafaidika anaona ya nini miee!
Nchi imevimba hiiAcha iendelee kunyesha tuone panapovuja
Watanzania wanatakiwa kupaza sauti Tanzania ni mali yetu sote siyo mali ya kikundi cha wachache wanaotaka kujinufaisha. Polepole amekuwa jasiri sana sijui watamfanyaje wakimkamata.Siku za ukombozi zi karibu. Dalili Ni njema Sana🇹🇿❤️
Hii imetushangaza Wananchi wengi sana. 🥺Kwenye uzinduzi wa hema alisema ameandamana na "boss" wake.
Polepole amejitoa muhanga Sana bahati mbaya Hana sapoti direct ya kutosha kutoka kwa majority tunaishia tu kusema mitandaoni, mwisho wa siku anachoka na kuona anapoteza muda kuwasemea viziwi na vipofuWatanzania wanatakiwa kupaza sauti Tanzania ni mali yetu sote siyo mali ya kikundi cha wachache wanaotaka kujinufaisha. Polepole amekuwa jasiri sana sijui watamfanyaje wakimkamata.
Wameuonesha mtutu wa BundukiWahuni siyo watu wazuri hata kidogo! Sijui wamemlisha nini Bibi yetu wa Kizimkazi. Maana hasikii, haoni, haelewi!!
Polepole anaongea kwa kujiamini sana,tena anamkumbusha Samia kuchukua hatua mapema kabla mambo hayajawa mabaya akaondoka kwa aibuSiku za ukombozi zi karibu. Dalili Ni njema Sana🇹🇿❤️
WW MUNGU?Ndiyo rais wenu hadi 2035
Polepole ana sapoti ambayo haijajiweka wazi sana na mkakati upo hivyo ni suala la timing tu Kila kitu kimepangiliwa vyema kuhusu nani aongee Nini na kwa wakati gani. Unadhani polepole kujiuzulu na kurudi nchini kuyaongea haya hajui madhara yake?Polepole amejitoa muhanga Sana bahati mbaya Hana sapoti direct ya kutosha kutoka kwa majority tunaishia tu kusema mitandaoni, mwisho wa siku anachoka na kuona anapoteza muda kuwasemea viziwi na vipofu
Nadhani Rais anategemea kikundi kilichomzunguka ila watamuharibia vibaya maana hakuna ndani ya CCM anaewakubali. Muda siyo mrefu tutasikia mambo mazito.Polepole anaongea kwa kujiamini sana,tena anamkumbusha Samia kuchukua hatua mapema kabla mambo hayajawa mabaya akaondoka kwa aibu
Hapana mkuu, hii kitu ina impact kubwa sana na uzuri ushahidii wa kimazingira unajionyesha wenyewe na mfano ni Mke wa JK na mwanae kupita bila kupingwa bila kusahau Bii Mkubwa nae mwanae na mkwe wake wote wamepitishwa kuwa wagombea.Polepole amejitoa muhanga Sana bahati mbaya Hana sapoti direct ya kutosha kutoka kwa majority tunaishia tu kusema mitandaoni, mwisho wa siku anachoka na kuona anapoteza muda kuwasemea viziwi na vipofu
Hutaki sisi waislamu tutawale nchi kwa amani kwanini wewe na polepole mnachuki sana na rais muislamuKatika round ya 3 Leo Mh. Polepole ameendelea kuuleza umma wa watanzania wa kinachoendelea ndani ya CCM na namna kundi la wanamtandao waliomzunguka Rais Samia wanavopanga mipango Yao.
Ameeleza mambo mengi ambayo sisi kama Wananchi wa kawaida hatuyajui ukiwa ni pamoja na hujuma alizokuwa anafanyiwa marehemu Rais Magufuli , namna ambavyo wanamtandao na familia zao wanavyojaribu kujimilikisha nchi na kwa bahati mbaya sana anasema hajui kama Rais Samia anajua kinachoendelea au hajui.
Mzee Wasira aliombwa na Mzee wa Heshima nchini hapa kukutana na Rais ili aielezwe kinachoendelea bahati mbaya Mzee wasira alikataa anasema polepole.
Anaendelea kusema kuwa viongozi wamjibu hoja zake wao wenyewe wasiwatume Malay men kujibu.
Ataendelea kuongea na watanzania wiki ijayo na ameahidi kuyasema yote ambayo yapo gizani kuhusu kundi linalotaka kuiteka nchi hii.
Mungu anaipenda Tanzania kuwa na watu aina ya Balozi Polepole. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki afrika
Asanteni.