Balozi Seif: Zanzibar ndio inayonufaika zaidi na Muungano wa Tanzania

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Akihojiwa na mtangazaji Marin Hassan wa TBC, makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif amewataka watanzania kwa umoja wao kuulinda muungano kwa nguvu zote kwani umeleta Heri.

Balazi Seif amesema Muungano huu unawanufaisha zaidi wazanzibar kuliko watanganyika hivyo atashangaa sana kusikia kuna mzanzibar anayeupinga muungano huu mtukufu.

Chanzo: TBC habari!
 
Kama anafaidika ni yy aliewekwa hapo kwa mtutu wa jeshi la kikoloni yy anaona faida pmj na Watanganyika wenzake waliojazana Nchini kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app

Nchini kwenu wapi! Visiwani Unguja na Pemba! Visiwa vyenye idadi ya watu milioni mbili tu! Yaani mara tatu ya idadi ya wakazi wa Dar es Salaam tu!!

Sasa tukilinganisha na Wazanzibari walioko Bara, Wanaotumia raslimali zetu kinyume na utaratibu, Wale wawakilishi wenu wanaokula hela zetu pale bungeni Dodoma pasipo kuzitolea jasho, nk. huoni ni kweli anachokiongea kiongozi wenu ni sahihi!

Mimi hata mkijitenga kesho, sidhani kama kuna kitu kitapungua kwenye maisha yangu.
 
Mala zote wanataka kudekezwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akihojiwa na mtangazaji Marin Hassan wa TBC, makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif amewataka watanzania kwa umoja wao kuulinda muungano kwa nguvu zote kwani umeleta Heri.

Balazi Seif amesema Muungano huu unawanufaisha zaidi wazanzibar kuliko watanganyika hivyo atashangaa sana kusikia kuna mzanzibar anayeupinga muungano huu mtukufu.

Chanzo: TBC habari!
Hasbiyallah!! babu lataka uraisi wa ZNZ?
 
Nchini kwenu wapi! Visiwani Unguja na Pemba! Visiwa vyenye idadi ya watu milioni mbili tu! Yaani mara tatu ya idadi ya wakazi wa Dar es Salaam tu!!

Sasa tukilinganisha na Wazanzibari walioko Bara, Wanaotumia raslimali zetu kinyume na utaratibu, Wale wawakilishi wenu wanaokula hela zetu pale bungeni Dodoma pasipo kuzitolea jasho, nk. huoni ni kweli anachokiongea kiongozi wenu ni sahihi!

Mimi hata mkijitenga kesho, sidhani kama kuna kitu kitapungua kwenye maisha yangu.
Unasahau kuwa wangekuwa na nchi yao wasingekuja huku wangekuwa kama Rwanda au zaidi
 
Akihojiwa na mtangazaji Marin Hassan wa TBC, makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif amewataka watanzania kwa umoja wao kuulinda muungano kwa nguvu zote kwani umeleta Heri.

Balazi Seif amesema Muungano huu unawanufaisha zaidi wazanzibar kuliko watanganyika hivyo atashangaa sana kusikia kuna mzanzibar anayeupinga muungano huu mtukufu.

Chanzo: TBC habari!
Katika watu ninao waelewa Zanzibar mmoja wapo ni Balozi Seif Ali Iddi
 
Nchini kwenu wapi! Visiwani Unguja na Pemba! Visiwa vyenye idadi ya watu milioni mbili tu! Yaani mara tatu ya idadi ya wakazi wa Dar es Salaam tu!!

Sasa tukilinganisha na Wazanzibari walioko Bara, Wanaotumia raslimali zetu kinyume na utaratibu, Wale wawakilishi wenu wanaokula hela zetu pale bungeni Dodoma pasipo kuzitolea jasho, nk. huoni ni kweli anachokiongea kiongozi wenu ni sahihi!

Mimi hata mkijitenga kesho, sidhani kama kuna kitu kitapungua kwenye maisha yangu.
Labda tutamiss chipsi na kuku huku ilala hamna LA ziada
 
Balazi Seif amesema Muungano huu unawanufaisha zaidi wazanzibar kuliko watanganyika hivyo atashangaa sana kusikia kuna mzanzibar anayeupinga muungano huu mtukufu

Tanganyika is already a donnor country
 
Akihojiwa na mtangazaji Marin Hassan wa TBC, makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif amewataka watanzania kwa umoja wao kuulinda muungano kwa nguvu zote kwani umeleta Heri.

Balazi Seif amesema Muungano huu unawanufaisha zaidi wazanzibar kuliko watanganyika hivyo atashangaa sana kusikia kuna mzanzibar anayeupinga muungano huu mtukufu.

Chanzo: TBC habari!
Hahahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom