Balozi Seif: Zanzibar ndio inayonufaika zaidi na Muungano wa Tanzania

Magufuli akiendelea kwa kasi alionayo na kuleta maendeleo makubwa Tanganyika, majirani watatamani kuwa kwenye umoja na Tanzania, hivyo Wazanzibari mna bahati maana mpo tayari kwenye muungano huu.
Watanufaika na utekaji tu. Ishakuwa somalia nchi hii.
 
Anabebwa eti makamu wa pili wa rais.....hahahaaa hana kingine cha kusema zaidi ya kuendelea kuimba kwaya
Eti makamu wa pili wa rais!ukiuliza makamu wa kwanza yupo wapi wanakutolea mimachotu.

Sent using tecno tochi
 
Huyo mzee huenda amechanganyikiwa.
Kama Zanzibar inanufaika zaidi na huu muungano kwanini wazanzibar walalamike kupunjwa na kuonewa kila siku na huu muungano?

Kwanini serikali ya Tanganyika iwalazimishe wazanzibar kuwepo kwenye huu muungano?

Wazanzibar tunataka kwanza tuulizwe kama tunauhitaji huu muungano ama la kwa kura ya maoni, tusisemewe na yoyote, tuachwe tujisemee sisi wenyewe.
 
Wazanzibari kulalamika na kunung'unika ni jadi yenu!Tunawabeba lakini hambebeki. Makamu wa Pili wa Rais yupo sahihi kabisa.

Nadhani kuna umuhimu wa kufutilia mbali hiyo inayoitwa eti Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar! Hii ndiyo inayowatia kiburi na kuona kama Zanzibar ni NCHI na wakati ni sehemu tu ya nchi ya Tanzania.

Tukiifutilia mbali hiyo serikali yenu, tutawawekea Mikoa miwili tu; Mkoa wa Unguja na Mkoa wa Pemba! Na atakayeleta fyokofyoko ya kupinga huo utaratibu, basi ajiandae tu kukimbilia Shimoni kule Mombasa.
 
Kwenda si hoja,huko zanzibar malaya na changudoa 99% ni watanganyika ambao ni dada zako.

Sent using tecno tochi

Si mshukuru wamewasaidia kupunguza wimbi la kuwabaka na kuwanajisi watoto wenu! na pia kugeuzana wenyewe kwa wenyewe! Unafiki utawatesa mpaka siku ya kiama chenu!

Siyo nyinyi mabinti zenu hutunza bikra za mbele na kuziacha zile za nyuma ziliwe na wapita njia tu bila huruma?
 
Wazanzibari kulalamika na kunung'unika ni jadi yenu!Tunawabeba lakini hambebeki. Makamu wa Pili wa Rais yupo sahihi kabisa.

Nadhani kuna umuhimu wa kufutilia mbali hiyo inayoitwa eti Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar! Hii ndiyo inayowatia kiburi na kuona kama Zanzibar ni NCHI na wakati ni sehemu tu ya nchi ya Tanzania.

Tukiifutilia mbali hiyo serikali yenu, tutawawekea Mikoa miwili tu; Mkoa wa Unguja na Mkoa wa Pemba! Na atakayeleta fyokofyoko ya kupinga huo utaratibu, basi ajiandae tu kukimbilia Shimoni kule Mombasa.
Zanzibar City!
 
Huyo mzee huenda amechanganyikiwa.
Kama Zanzibar inanufaika zaidi na huu muungano kwanini wazanzibar walalamike kupunjwa na kuonewa kila siku na huu muungano?

Kwanini serikali ya Tanganyika iwalazimishe wazanzibar kuwepo kwenye huu muungano?

Wazanzibar tunataka kwanza tuulizwe kama tunauhitaji huu muungano ama la kwa kura ya maoni, tusisemewe na yoyote, tuachwe tujisemee sisi wenyewe.
Zikipigwa mtasema kura za maruhani
 
Mtu mzima hatishiwi nyau!
 
Kama anafaidika ni yy aliewekwa hapo kwa mtutu wa jeshi la kikoloni yy anaona faida pmj na Watanganyika wenzake waliojazana Nchini kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazambari wapo wengi huku bara wanafanya biashara mbalimbali huko mikoani mpo kibao, chakula mnaletewa Zenji kutoka bara, na mambo mengine hafu unasema hamfaidiki zaidi acha kukufuru
 
Wazanzibari kulalamika na kunung'unika ni jadi yenu!Tunawabeba lakini hambebeki. Makamu wa Pili wa Rais yupo sahihi kabisa.

Nadhani kuna umuhimu wa kufutilia mbali hiyo inayoitwa eti Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar! Hii ndiyo inayowatia kiburi na kuona kama Zanzibar ni NCHI na wakati ni sehemu tu ya nchi ya Tanzania.

Tukiifutilia mbali hiyo serikali yenu, tutawawekea Mikoa miwili tu; Mkoa wa Unguja na Mkoa wa Pemba! Na atakayeleta fyokofyoko ya kupinga huo utaratibu, basi ajiandae tu kukimbilia Shimoni kule Mombasa.
Mtu mzima hatishiwi nyau!
 
Magufuli akiendelea kwa kasi alionayo na kuleta maendeleo makubwa Tanganyika, majirani watatamani kuwa kwenye umoja na Tanzania, hivyo Wazanzibari mna bahati maana mpo tayari kwenye muungano huu.
Watembee vifua mbele muungano wetu udumu milele atayeubomoa atanomoka yy na familia yake km kassim hanga na Abdul babu

Hawa majamaa bana hawana shukurani, leo wanalalamika kunyonywa na Tanganyika wakati hawawezi hata kulipia umeme tunaowapa hadi wasamehewe deni. Kati ya vitu navyomlaumu mzee wa Butiama ni kuwa na serikali mbili ndani ya nchi moja, hapa ilitakiwa iwe serikali moja yenye rais mmoja hawataki tunaingiza jeshi kuwatia vitasa.
 
Huyo mzee huenda amechanganyikiwa.
Kama Zanzibar inanufaika zaidi na huu muungano kwanini wazanzibar walalamike kupunjwa na kuonewa kila siku na huu muungano?

Kwanini serikali ya Tanganyika iwalazimishe wazanzibar kuwepo kwenye huu muungano?

Wazanzibar tunataka kwanza tuulizwe kama tunauhitaji huu muungano ama la kwa kura ya maoni, tusisemewe na yoyote, tuachwe tujisemee sisi wenyewe.

Lazima mtulie hasa mnapotuzungumzia watawala wenu, tukiamua nchi tutawapa tusipoamua ninyi tulieni tu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wazanzibar muache kelele viongozi wenu wanasema mnanufaika ninyi mnakataa kwa sababu gani?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nchini kwenu wapi! Visiwani Unguja na Pemba! Visiwa vyenye idadi ya watu milioni mbili tu! Yaani mara tatu ya idadi ya wakazi wa Dar es Salaam tu!!

Sasa tukilinganisha na Wazanzibari walioko Bara, Wanaotumia raslimali zetu kinyume na utaratibu, Wale wawakilishi wenu wanaokula hela zetu pale bungeni Dodoma pasipo kuzitolea jasho, nk. huoni ni kweli anachokiongea kiongozi wenu ni sahihi!

Mimi hata mkijitenga kesho, sidhani kama kuna kitu kitapungua kwenye maisha yangu.
ni 1/3 ya idadi ya wakazi wa Dar es salaam si mara 3 ya wakazi wa Dar!
 
Hawa wala UROJO sio watu wa kuwaendekeza tena, tumewavumilia sana kwa kuwabeba, nafikiri sasa imetosha warudi kwao na vikaragosi vyao.
 
Back
Top Bottom