Balozi Seif: Zanzibar ndio inayonufaika zaidi na Muungano wa Tanzania

Balozi Seif: Zanzibar ndio inayonufaika zaidi na Muungano wa Tanzania

Kama anafaidika ni yy aliewekwa hapo kwa mtutu wa jeshi la kikoloni yy anaona faida pmj na Watanganyika wenzake waliojazana Nchini kwetu

Sent using Jamii Forums mobile app
NJOO UONE MLIVOJAZANA NA KUCHUKUA ARDHI NA MAJENZI MENGI HUKU NDIO UJUE NANI ANAFAIDI ZAIDI. Chelewchelewa mtoto kazaliwa. Yakhe changamkia. Walioenda nchi mpya marekani australi nk ndio wanafaidi ulimwengu huu
 
Wazanzibari kulalamika na kunung'unika ni jadi yenu!Tunawabeba lakini hambebeki. Makamu wa Pili wa Rais yupo sahihi kabisa.

Nadhani kuna umuhimu wa kufutilia mbali hiyo inayoitwa eti Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar! Hii ndiyo inayowatia kiburi na kuona kama Zanzibar ni NCHI na wakati ni sehemu tu ya nchi ya Tanzania.

Tukiifutilia mbali hiyo serikali yenu, tutawawekea Mikoa miwili tu; Mkoa wa Unguja na Mkoa wa Pemba! Na atakayeleta fyokofyoko ya kupinga huo utaratibu, basi ajiandae tu kukimbilia Shimoni kule Mombasa.
TUNATAKA BREXIT -Hatuna haja na hayo manufa ya balozi Sefu,
Mamlaka Kamili ,Zanzibar Kwanza.
hakuyaelezea manufaa gani hayo?
 
Hivi wazanzibar mnapunjwa na nini kama mkaa tu wa kupikia Mnautoa Tanga kupitia kule Mkokotoni, achilia mbali vyakula vyenyewe
Huyo mzee huenda amechanganyikiwa.
Kama Zanzibar inanufaika zaidi na huu muungano kwanini wazanzibar walalamike kupunjwa na kuonewa kila siku na huu muungano?

Kwanini serikali ya Tanganyika iwalazimishe wazanzibar kuwepo kwenye huu muungano?

Wazanzibar tunataka kwanza tuulizwe kama tunauhitaji huu muungano ama la kwa kura ya maoni, tusisemewe na yoyote, tuachwe tujisemee sisi wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi za utumwa ,

kuna baadhi yawatumwa walipopewa uhuru waligoma kuondoka kwa mabwana zao. Walifikiri jinsi gani watapambana na Maisha, wakaamua kubakia chini ya utiifu wa mabwana zao.

Lakini kuna wengine kwao uhuru ni bora kuliko ugumu wa maisha,Hawa ni wale aliojuwa thamani ya Utu, walifurahia uhuru kuliko kuwa chini ya bwana utumwani waliamua kuondoka.

Balozi ni wa kundi lile la awali. Heri abaki utumwani ili aendelee kunufaika na bah shish ya bwana wake.
 
sure knows which side of his bread is buttered.Muungano oyee, CCM oyee.
 
TUNATAKA BREXIT -Hatuna haja na hayo manufa ya balozi Sefu,
Mamlaka Kamili ,Zanzibar Kwanza.
hakuyaelezea manufaa gani hayo?

Mtakuja kulia na kusaga meno iwapo hili hitaji lenu litakubaliwa. Umeme unatoka bara, vyakula vingi vinatoka bara! au mnajivunia huo urojo? ndugu zenu wengi wanaishi bara, kuna wawakilishi wenu wanahemea kodi zetu huku bara!

Msiwaige Waingereza, wale wanajitegemea kwa kila kitu! Tofauti kabisa na nyinyi wenzangu na mimi. Au mnataka na ccm nayo izikwe huko Zanzibar? Maana mara zote vikosi vya kutoka bara ndivyo vilivyotumika kuinusuru kila panapotokea uchaguzi wa rais wenu.
 
Tena wanawake wa kizanzibari ndo wanaongoza kwa kudanga, utakuta mtu kavaa baibui na hijab ila mguuni vikuku na kama kawaida anapiga miguu yote kama Ronaldo

Sent using Jamii Forums mobile app
Si shamba tu hilo utalima utapopata mazao ,au ukiamua kuvuna mbolea ,shauri lako.
Hapa tunaongelea Taifa La Zanzibar na Utumwa wa Muungano, wewe unaleta mambo ya Ngono,We mtu wa Tigo nini,? naona unapendelea mguu wa kushoto.
 
Mtakuja kulia na kusaga meno iwapo hili hitaji lenu litakubaliwa. Umeme unatoka bara, vyakula vingi vinatoka bara! au mnajivunia huo urojo? ndugu zenu wengi wanaishi bara, kuna wawakilishi wenu wanahemea kodi zetu huku bara!

Msiwaige Waingereza, wale wanajitegemea kwa kila kitu! Tofauti kabisa na nyinyi wenzangu na mimi. Au mnataka na ccm nayo izikwe huko Zanzibar? Maana mara zote vikosi vya kutoka bara ndivyo vilivyotumika kuinusuru kila panapotokea uchaguzi wa rais wenu.
Tuna ndugu zetu pia wanaishi Kenya,
Wengine wanaishi Uk tena wengi tuu,
na Msumbiji wapo pia ,
lakini hawakuuza nchi zao etu kwa kuwa wao wanaishi huko.
Mukitufukuza ,hilo ni hitajio lenu.
Mukituacha tutaendelea kuwatafuna kama kawaida yetu.
Haya ni maisha tuu,
Suala la Nchi yetu na Maisha ya mtu binafsi ni vitu viwili tofauti.
Huyo Balozi Sefu Kwao Morogoro, ni Mruguru, wacha avutie kwao.

Let Brexit Done, then see if Zanzibar will perish and ruin
 
ni 1/3 ya idadi ya wakazi wa Dar es salaam si mara 3 ya wakazi wa Dar!
KUNA NCHI INA WATU LAKI NNE TU.
Sembuse Zanzibar tunakimbilia milioni 2 ikiwa ni pamoja na majirani zetu wa damu waliolowea huku Toka Tanganyika.
Na hatutawafukuza kwani wanafanya kazi nzuri sana hapa Zanzibar ,na wakita kuowa tutawasilimisha na kuwapa dada zetu.

Ama wale mabinti Tutawafanya Masuria tuu nawao wafaidi ladha ya Nungwi.Sisi si Wachoyo,

lakini wajuwe kuwa wao ni wahamiaji hapa.
 
Unaongea as if mmegundua mafuta! Utawala wa sultani ulitoka Lamu mpaka Sofala na ulitegemea resources za bara! Sasa Zanzibar pekee yakhe itajiendesha vp? Kwa karafuu na utalii tu? Wacha utani aisee wenzio wako Bara wakichakarika!
 
Balozi Seif Ali Iddi anafahamu fika kuwa rais wa Zanzibar anateuliwa huko Dodoma na WaTanganyika akisubiriwa tu kutangazwa mshindi wa kiini macho kinachoitwa uchaguzi. Kwa hiyo hapa anajaribu kunata na "biti" ili awe favourite katika mbio za kuchukua urais wa Zanzibar kwa kigezo cha mtu anayeweza kuaminiwa kwa kuwa anaamini katika muungano.
 
Muungano = A+B=C
A inakufa na B inakufa kisha kuzaa C ambayo ndio muungano
Tanganyika imekufa but Zanzibar still existing. Huu sio muungano kwa hakika.
Tukichambua kuhusu federation tutapata jibu kuwa Tanzania imekosa sifa ya federation.
Federation = A+ B = AB.
Tanganyika ingekuwepo na Zanzibar ingekuwepo lakini kingeundwa chombo ambacho kingekuwa bond
Rais wa Muungano : Bara.
Makamu wa Rais: Zanzibar
Rais wa Zanzibar: Zanzibar
Makamu 1 wa Rais wa znz: Zanzibar
Makamu 2 wa Rais wa znz : Zanzibar.
Ile top 5 au top 4 yote Bara yenye watu 57m kwenye uongozi tunaingiza kiongozi 1 tu huku Zanzibar inaingiza 3-4 ilhali ina wananchi wasiozidi 2m.
This is shit indeed
 
Akihojiwa na mtangazaji Marin Hassan wa TBC, makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif amewataka watanzania kwa umoja wao kuulinda muungano kwa nguvu zote kwani umeleta Heri.

Balazi Seif amesema Muungano huu unawanufaisha zaidi wazanzibar kuliko watanganyika hivyo atashangaa sana kusikia kuna mzanzibar anayeupinga muungano huu mtukufu.

Chanzo: TBC habari!
AWE MUWAZI TU,ccm ZANZIBAR INANUFAIKA NA MUUNGANO NA SI ZANZIBAR KAMA NCHI.
 
Rais wa Muungano : Bara.
Makamu wa Rais: Zanzibar
Rais wa Zanzibar: Zanzibar
Makamu 1 wa Rais wa znz: Zanzibar
Makamu 2 wa Rais wa znz : Zanzibar.
Ile top 5 au top 4 yote Bara yenye watu 57m kwenye uongozi tunaingiza kiongozi 1 tu huku Zanzibar inaingiza 3-4 ilhali ina wananchi wasiozidi 2m.
This is shit indeed
Nani kawashauri mufute serikali yenu ya Tanganyika?
Si Tuliungana Mataifa mawili HURU?
Kabla Muungano sisi tulikuwa Tuna Mambo yetu na Tanganyika Mambo yao.
Hizi Serikali ni Mbadilishano tuu,lkini Mfumo wa Kidola Ulikuwepo,
Let
Let Brexit Done, then see if Zanzibar will perish and ruin
 
Tatizo kuna watu wakikusikia unatamka hilo neno brexit utaokotwa kwenye kiroba Nungwe.
Sasa sijui wanapata raha gani

Back
Top Bottom