Ni kweli, jiulize tu swali kidogo kwa upande was ajira. Angalia wa Zanzibar walioajiriwa Tanzania bara na Wazanzibari wanaojishughulisha na shghuli za kiuchumi Tanzania bara, waliopo mpaka Katavi, mpakani mwa TZ na Malawi, Kigoma, Mwanza etc. Halafu ulizia Watanzania bara wanaofanya kazi Zanzibar ukizingatia udogo wa nchi yenyewe.....utakuja na hitimisho linalosemwa...hapo bado hujaangalia mambo mengine....Akihojiwa na mtangazaji Marin Hassan wa TBC, makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif amewataka watanzania kwa umoja wao kuulinda muungano kwa nguvu zote kwani umeleta Heri.
Balazi Seif amesema Muungano huu unawanufaisha zaidi wazanzibar kuliko watanganyika hivyo atashangaa sana kusikia kuna mzanzibar anayeupinga muungano huu mtukufu.
Chanzo: TBC habari!
Kwa kukusaidia ndugu yangu ss watanganyika hatuna roho ya ubaguzi kama mlivyo nyinyi huku kwetu mkija mnakua huru sana kununua mashamba, kujenga , kufanya biashara na kamwe huwezi sikia mtanganyika analalamika juu ya uwepo wenu, huko kwenu sasa...Kama anafaidika ni yy aliewekwa hapo kwa mtutu wa jeshi la kikoloni yy anaona faida pmj na Watanganyika wenzake waliojazana Nchini kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
SI TUNAKUZA UCHUMI WENU, NA KODI TUNAWALIPANi kweli, jiulize tu swali kidogo kwa upande was ajira. Angalia wa Zanzibar walioajiriwa Tanzania bara na Wazanzibari wanaojishughulisha na shghuli za kiuchumi Tanzania bara, waliopo mpaka Katavi, mpakani mwa TZ na Malawi, Kigoma, Mwanza etc. Halafu ulizia Watanzania bara wanaofanya kazi Zanzibar ukizingatia udogo wa nchi yenyewe.....utakuja na hitimisho linalosemwa...hapo bado hujaangalia mambo mengine....
Hilo ni kweliKwa kukusaidia ndugu yangu ss watanganyika hatuna roho ya ubaguzi kama mlivyo nyinyi huku kwetu mkija mnakua huru sana kununua mashamba, kujenga , kufanya biashara na kamwe huwezi sikia mtanganyika analalamika juu ya uwepo wenu, huko kwenu sasa...
Wazanzibari kulalamika na kunung'unika ni jadi yenu!Tunawabeba lakini hambebeki. Makamu wa Pili wa Rais yupo sahihi kabisa.
Nadhani kuna umuhimu wa kufutilia mbali hiyo inayoitwa eti Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar! Hii ndiyo inayowatia kiburi na kuona kama Zanzibar ni NCHI na wakati ni sehemu tu ya nchi ya Tanzania.
Tukiifutilia mbali hiyo serikali yenu, tutawawekea Mikoa miwili tu; Mkoa wa Unguja na Mkoa wa Pemba! Na atakayeleta fyokofyoko ya kupinga huo utaratibu, basi ajiandae tu kukimbilia Shimoni kule Mombasa.
Wazambari wapo wengi huku bara wanafanya biashara mbalimbali huko mikoani mpo kibao, chakula mnaletewa Zenji kutoka bara, na mambo mengine hafu unasema hamfaidiki zaidi acha kukufuru
Kwani Rwanda inaizidi nini Tanzania?Unasahau kuwa wangekuwa na nchi yao wasingekuja huku wangekuwa kama Rwanda au zaidi
Kwa kukusaidia ndugu yangu ss watanganyika hatuna roho ya ubaguzi kama mlivyo nyinyi huku kwetu mkija mnakua huru sana kununua mashamba, kujenga , kufanya biashara na kamwe huwezi sikia mtanganyika analalamika juu ya uwepo wenu, huko kwenu sasa...
Kwani Rwanda inaizidi nini Tanzania?
Kuwa mkweli
Umesema Zenji isingekuwa sehemu yetu ingelikuwa kama Rwanda au zaidi hapa ukidhihirisha Rwanda ni bora kuliko sisi, kwa sababu huwezi kulinganisha cha hovyo kwa cha hovyo!Mkuu kwani hapa pana ushindani wa kuwa nani kamzidi mwenzake?
Mkuu Dodoma pale bungeni munawalipa hela zenu zipi ebu weka wazi. Ni serikali ya Tanganyika ndo inalipa au Tanzania? Ni rasimali ipi inayotumiwa kinyume na utaratibu, umepatia kabisa wakijitenga Wazanzibar ww hupungukiwi na kitu hilo ni kweli kabisa maana hata wewe huna faida yoyote kwao.Nchini kwenu wapi! Visiwani Unguja na Pemba! Visiwa vyenye idadi ya watu milioni mbili tu! Yaani mara tatu ya idadi ya wakazi wa Dar es Salaam tu!!
Sasa tukilinganisha na Wazanzibari walioko Bara, Wanaotumia raslimali zetu kinyume na utaratibu, Wale wawakilishi wenu wanaokula hela zetu pale bungeni Dodoma pasipo kuzitolea jasho, nk. huoni ni kweli anachokiongea kiongozi wenu ni sahihi!
Mimi hata mkijitenga kesho, sidhani kama kuna kitu kitapungua kwenye maisha yangu.
Msipeleke tena hicho chakula chenu cha bure huko Zanzibar, wapelekeeni mayatima na omba omba walioptapakaa kila kona hapa Tanganyika.Wazambari wapo wengi huku bara wanafanya biashara mbalimbali huko mikoani mpo kibao, chakula mnaletewa Zenji kutoka bara, na mambo mengine hafu unasema hamfaidiki zaidi acha kukufuru
Sawa Msemajo wa Familia Ya Bakhresa tumekuelewa ..SI TUNAKUZA UCHUMI WENU, NA KODI TUNAWALIPA
faida ya muekezaji inakwenda pande zote mbili,
Mfano bakhresa katengeneza Ajira Nyingi mno Huko kwenu,na Pesa zake zote ziko kwenye Mabenki yenu huko.
Kimsingi nyinyi Munafaidika zaidi.
Na tukisema tumchukue bakhresa arudi Zenji Hamtokubali kwani ataleta mtingisiko mkubwa wa kiuchumi
Si ndo nyinyi munaofaidika zaid?
Au hujui calculations za Uchumi?
Mkuu Dodoma pale bungeni munawalipa hela zenu zipi ebu weka wazi. Ni serikali ya Tanganyika ndo inalipa au Tanzania? Ni rasimali ipi inayotumiwa kinyume na utaratibu, umepatia kabisa wakijitenga Wazanzibar ww hupungukiwi na kitu hilo ni kweli kabisa maana hata wewe huna faida yoyote kwao.
Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Serikali ya Muungano ndio inayohudumia wizara zote zilizo chini ya Muungano kwa kutumia mapato yatokanayo na kodi, mikopo na ruzuku. Kodi hawalipi watanganyika tu hata Zanzibar TRA ipo na ina ofisi zake. Wanacholipwa wabunge na watumishi wengine wa Zanzibar huku bara ni haki yao wala si hisani ya Watanganyika kama vile ilivyo kwa majeshi, askari na watumishi wengine watanganyika wanaofanya kazi Zanzibar.Kwani kuna utofauti kati ya Tanganyika na Tanzania! Kama ingekuwepo basi tusingesikia nchi inayoitwa "Zanzibar"
Wale wabunge kutoka Zanzibar wanalipwa na walipa kodi wa Tanganyika/Tanzania! na wakati huo huo wakiwa na bunge lao kule Zanzibar ambalo halina Wawakilishi kutoka Tanganyika!