johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kama anafaidika ni yy aliewekwa hapo kwa mtutu wa jeshi la kikoloni yy anaona faida pmj na Watanganyika wenzake waliojazana Nchini kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mala zote wanataka kudekezwaNchini kwenu wapi! Visiwani Unguja na Pemba! Visiwa vyenye idadi ya watu milioni mbili tu! Yaani mara tatu ya idadi ya wakazi wa Dar es Salaam tu!!
Sasa tukilinganisha na Wazanzibari walioko Bara, Wanaotumia raslimali zetu kinyume na utaratibu, Wale wawakilishi wenu wanaokula hela zetu pale bungeni Dodoma pasipo kuzitolea jasho, nk. huoni ni kweli anachokiongea kiongozi wenu ni sahihi!
Mimi hata mkijitenga kesho, sidhani kama kuna kitu kitapungua kwenye maisha yangu.
Hasbiyallah!! babu lataka uraisi wa ZNZ?Akihojiwa na mtangazaji Marin Hassan wa TBC, makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif amewataka watanzania kwa umoja wao kuulinda muungano kwa nguvu zote kwani umeleta Heri.
Balazi Seif amesema Muungano huu unawanufaisha zaidi wazanzibar kuliko watanganyika hivyo atashangaa sana kusikia kuna mzanzibar anayeupinga muungano huu mtukufu.
Chanzo: TBC habari!
Unasahau kuwa wangekuwa na nchi yao wasingekuja huku wangekuwa kama Rwanda au zaidiNchini kwenu wapi! Visiwani Unguja na Pemba! Visiwa vyenye idadi ya watu milioni mbili tu! Yaani mara tatu ya idadi ya wakazi wa Dar es Salaam tu!!
Sasa tukilinganisha na Wazanzibari walioko Bara, Wanaotumia raslimali zetu kinyume na utaratibu, Wale wawakilishi wenu wanaokula hela zetu pale bungeni Dodoma pasipo kuzitolea jasho, nk. huoni ni kweli anachokiongea kiongozi wenu ni sahihi!
Mimi hata mkijitenga kesho, sidhani kama kuna kitu kitapungua kwenye maisha yangu.
Mungu atunusuru na hili pia. AMIN!!!Tuwe na serikali moja kuondoa kelele
Katika watu ninao waelewa Zanzibar mmoja wapo ni Balozi Seif Ali IddiAkihojiwa na mtangazaji Marin Hassan wa TBC, makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif amewataka watanzania kwa umoja wao kuulinda muungano kwa nguvu zote kwani umeleta Heri.
Balazi Seif amesema Muungano huu unawanufaisha zaidi wazanzibar kuliko watanganyika hivyo atashangaa sana kusikia kuna mzanzibar anayeupinga muungano huu mtukufu.
Chanzo: TBC habari!
Bunju shangazi yako
Kama anafaidika ni yy aliewekwa hapo kwa mtutu wa jeshi la kikoloni yy anaona faida pmj na Watanganyika wenzake waliojazana Nchini kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda tutamiss chipsi na kuku huku ilala hamna LA ziadaNchini kwenu wapi! Visiwani Unguja na Pemba! Visiwa vyenye idadi ya watu milioni mbili tu! Yaani mara tatu ya idadi ya wakazi wa Dar es Salaam tu!!
Sasa tukilinganisha na Wazanzibari walioko Bara, Wanaotumia raslimali zetu kinyume na utaratibu, Wale wawakilishi wenu wanaokula hela zetu pale bungeni Dodoma pasipo kuzitolea jasho, nk. huoni ni kweli anachokiongea kiongozi wenu ni sahihi!
Mimi hata mkijitenga kesho, sidhani kama kuna kitu kitapungua kwenye maisha yangu.
Balazi Seif amesema Muungano huu unawanufaisha zaidi wazanzibar kuliko watanganyika hivyo atashangaa sana kusikia kuna mzanzibar anayeupinga muungano huu mtukufu
HahahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaAkihojiwa na mtangazaji Marin Hassan wa TBC, makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif amewataka watanzania kwa umoja wao kuulinda muungano kwa nguvu zote kwani umeleta Heri.