NJOO UONE MLIVOJAZANA NA KUCHUKUA ARDHI NA MAJENZI MENGI HUKU NDIO UJUE NANI ANAFAIDI ZAIDI. Chelewchelewa mtoto kazaliwa. Yakhe changamkia. Walioenda nchi mpya marekani australi nk ndio wanafaidi ulimwengu huuKama anafaidika ni yy aliewekwa hapo kwa mtutu wa jeshi la kikoloni yy anaona faida pmj na Watanganyika wenzake waliojazana Nchini kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama anafaidika ni yy aliewekwa hapo kwa mtutu wa jeshi la kikoloni yy anaona faida pmj na Watanganyika wenzake waliojazana Nchini kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
TUNATAKA BREXIT -Hatuna haja na hayo manufa ya balozi Sefu,Wazanzibari kulalamika na kunung'unika ni jadi yenu!Tunawabeba lakini hambebeki. Makamu wa Pili wa Rais yupo sahihi kabisa.
Nadhani kuna umuhimu wa kufutilia mbali hiyo inayoitwa eti Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar! Hii ndiyo inayowatia kiburi na kuona kama Zanzibar ni NCHI na wakati ni sehemu tu ya nchi ya Tanzania.
Tukiifutilia mbali hiyo serikali yenu, tutawawekea Mikoa miwili tu; Mkoa wa Unguja na Mkoa wa Pemba! Na atakayeleta fyokofyoko ya kupinga huo utaratibu, basi ajiandae tu kukimbilia Shimoni kule Mombasa.
Kwenda si hoja,huko zanzibar malaya na changudoa 99% ni watanganyika ambao ni dada zako.
Sent using tecno tochi
Huyo mzee huenda amechanganyikiwa.
Kama Zanzibar inanufaika zaidi na huu muungano kwanini wazanzibar walalamike kupunjwa na kuonewa kila siku na huu muungano?
Kwanini serikali ya Tanganyika iwalazimishe wazanzibar kuwepo kwenye huu muungano?
Wazanzibar tunataka kwanza tuulizwe kama tunauhitaji huu muungano ama la kwa kura ya maoni, tusisemewe na yoyote, tuachwe tujisemee sisi wenyewe.
KWANI MUNATUPA BURE?Hivi wazanzibar mnapunjwa na nini kama mkaa tu wa kupikia Mnautoa Tanga kupitia kule Mkokotoni, achilia mbali vyakula vyenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
TUNATAKA BREXIT -Hatuna haja na hayo manufa ya balozi Sefu,
Mamlaka Kamili ,Zanzibar Kwanza.
hakuyaelezea manufaa gani hayo?
Si shamba tu hilo utalima utapopata mazao ,au ukiamua kuvuna mbolea ,shauri lako.Tena wanawake wa kizanzibari ndo wanaongoza kwa kudanga, utakuta mtu kavaa baibui na hijab ila mguuni vikuku na kama kawaida anapiga miguu yote kama Ronaldo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna ndugu zetu pia wanaishi Kenya,Mtakuja kulia na kusaga meno iwapo hili hitaji lenu litakubaliwa. Umeme unatoka bara, vyakula vingi vinatoka bara! au mnajivunia huo urojo? ndugu zenu wengi wanaishi bara, kuna wawakilishi wenu wanahemea kodi zetu huku bara!
Msiwaige Waingereza, wale wanajitegemea kwa kila kitu! Tofauti kabisa na nyinyi wenzangu na mimi. Au mnataka na ccm nayo izikwe huko Zanzibar? Maana mara zote vikosi vya kutoka bara ndivyo vilivyotumika kuinusuru kila panapotokea uchaguzi wa rais wenu.
KUNA NCHI INA WATU LAKI NNE TU.ni 1/3 ya idadi ya wakazi wa Dar es salaam si mara 3 ya wakazi wa Dar!
Unaongea as if mmegundua mafuta! Utawala wa sultani ulitoka Lamu mpaka Sofala na ulitegemea resources za bara! Sasa Zanzibar pekee yakhe itajiendesha vp? Kwa karafuu na utalii tu? Wacha utani aisee wenzio wako Bara wakichakarika!KUNA NCHI INA WATU LAKI NNE TU.
Sembuse Zanzibar tunakimbilia milioni 2 ikiwa ni pamoja na majirani zetu wa damu waliolowea huku Toka Tanganyika.
Na hatutawafukuza kwani wanafanya kazi nzuri sana hapa Zanzibar ,na wakita kuowa tutawasilimisha na kuwapa dada zetu.
Ama wale mabinti Tutawafanya Masuria tuu nawao wafaidi ladha ya Nungwi.Sisi si Wachoyo,
lakini wajuwe kuwa wao ni wahamiaji hapa.
AWE MUWAZI TU,ccm ZANZIBAR INANUFAIKA NA MUUNGANO NA SI ZANZIBAR KAMA NCHI.Akihojiwa na mtangazaji Marin Hassan wa TBC, makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Seif amewataka watanzania kwa umoja wao kuulinda muungano kwa nguvu zote kwani umeleta Heri.
Balazi Seif amesema Muungano huu unawanufaisha zaidi wazanzibar kuliko watanganyika hivyo atashangaa sana kusikia kuna mzanzibar anayeupinga muungano huu mtukufu.
Chanzo: TBC habari!
Nani kawashauri mufute serikali yenu ya Tanganyika?Rais wa Muungano : Bara.
Makamu wa Rais: Zanzibar
Rais wa Zanzibar: Zanzibar
Makamu 1 wa Rais wa znz: Zanzibar
Makamu 2 wa Rais wa znz : Zanzibar.
Ile top 5 au top 4 yote Bara yenye watu 57m kwenye uongozi tunaingiza kiongozi 1 tu huku Zanzibar inaingiza 3-4 ilhali ina wananchi wasiozidi 2m.
This is shit indeed
Nani kawashauri mufute serikali yenu ya Tanganyika?
Si Tuliungana Mataifa mawili HURU?
Kabla Muungano sisi tulikuwa Tuna Mambo yetu na Tanganyika Mambo yao.
Hizi Serikali ni Mbadilishano tuu,lkini Mfumo wa Kidola Ulikuwepo,
Let
Let Brexit Done, then see if Zanzibar will perish and ruin