Wewe na mm tutakumbushana humu JF urakaokuwa mwisho wa ugomvi huu. mm nakwambia the whole Palestine thing limejengwa kwenye dhana potofu:
1. Hamna state yao pekeyao iliyokuwa Palestine
2. Upalestina huo walijipachika 1964 wakisaidiwa na KGB ya Soviet Union
3. Hiyo Al Aqsa mosque msingi wake ni uongo
4. Dome of the Rock hamna historia yeyote Uislam wala Mohammad; badala yake iliyopo pale ni Historia ya Waisraeli na Mfalme Daudi
5. Vita hii mtashindwa wewe na Nyerere wako na hiyo Hamas, Hezbullah they will be consigned to history. Aidha, huyo Ayatollah wenu wa Iran, ataondoka na Iran kuwa na Serikali isiyo ya Kidini
6. Tunza maneno yangu yakusaidie ktk siku za usoni wakati islam revert back to being a strange thing
View attachment 3100238