Balozi wa Iran Lebanon apoteza jicho moja kwenye mlipuko, jicho lingine lajeruhiwa vibaya, apelekwa Iran Kwa matibabu

Wadau hamjamboni nyote?

Balozi huyo nayeye alikuwa na karedio kamasiliano yaani pager na kilipobipu kwa takribani sekunde 10 akakisogeza usoni Ili asome ujumbe na Mlipuko ukatokea na kuondoka na jicho lake

Taarifa kamili hapo chini:

Hassan Ammar)
Mojtaba Amani, the Iranian ambassador to Lebanon, lost one eye and his other was seriously wounded when a pager he was carrying exploded yesterday, The New York Times reports.

Members of the Islamic Revolutionary Guard Corps tell the outlet that Amani’s injuries are more serious than initially reported, and he would be taken to Tehran for treatment.

Video on social media apparently showed Amani on a Lebanese street in the aftermath of the attack, with blood on the front of his shirt, the newspaper says.

The Saudi-owned Alhadath news channel, quoting Tehran’s embassy in Beirut, said yesterday that Amani was in “good general condition” and his injuries were only superficial.

At least nine people were killed and thousands were injured when pagers held by Hezbollah members across Lebanon exploded yesterday afternoon, in what appeared to be a widescale, coordinated attack attributed to Israel against the Iran-backed terror group.
Wangemkagua vizuri huenda balozi hana makagari pia
 
Yaani huyu...bora alikwepa kuweka mfukoni,angekuwa hana pumbu muda huu
 
Wenzio hao wa Syria wanasherehekea Pagers. Sikiliza tu utasikia PAGER, Hassan Nasirallah Shetan. Wewe hata undani wa mgogoro huo huujui ati unajifanya nawe ni Free Free Palestine from the Liver to the Thigh

View: https://x.com/NiohBerg/status/1836465690552729710

Enh ni kweli kumbe makundi ya magaidi hayapendwi na waarabu wenzao... raia wengi wanapenda kuishi kwa raha ila magaidi ndio shida na cha kushangaza yana washabiki hadi tz
 
Wenzio hao wa Syria wanasherehekea Pagers. Sikiliza tu utasikia PAGER, Hassan Nasirallah Shetan. Wewe hata undani wa mgogoro huo huujui ati unajifanya nawe ni Free Free Palestine from the Liver to the Thigh

View: https://x.com/NiohBerg/status/1836465690552729710

Mimi , Nelson Mandela na Mwalimu Julius Nyerere hawa ni marehemu tunapigania uhuru wa taifa la palestina kwa sababu tunajua na tuna akili . Wewe ni mjinga ila ipo siku utakua na akili kama sisi
 
Sasa balozi mzima wa nchi kibwa kama Iran hicho ki pager yeye kilikua chanini? Hii inathibitisha Iran inafanya kazi za kigaidi!
 
Mimi , Nelson Mandela na Mwalimu Julius Nyerere hawa ni marehemu tunapigania uhuru wa taifa la palestina kwa sababu tunajua na tuna akili . Wewe ni mjinga ila ipo siku utakua na akili kama sisi
kwa kifupi hao wote wawili walikuwa wanafiki wakubwa sana, na kuna wakati tunaamini ilikuwa bahati mbaya kuongozwa nao. majengo mengi sana UDSM yalijengwa na waisrael, vitu vingi hadi jeshi liliundwana waisrael, ila ili ajipatie sifa, akaungana na magaidi. yule mzee kuna mambo mengi alituingiza chaka na ashukuru Mungu alikufa mapema, angekuwepo sasaivi heshima yake yote angevuliwa.
 
Huna akili
 
Nna mashaka sana na huyu mungu wa waarabu Allah.
Amethibitika hana uwezo kabisa kwa watu wanao mtumainia.
Ameshindwa kuwalinda waarabu dhidi ya Mungu wa Israel.
Ni wakati sasa wafuasi wa Allah kuungana na Israel na kumfanya Israel awe kiranja wao mkuu ili waishi kwa amani.
 
Mimi , Nelson Mandela na Mwalimu Julius Nyerere hawa ni marehemu tunapigania uhuru wa taifa la palestina kwa sababu tunajua na tuna akili . Wewe ni mjinga ila ipo siku utakua na akili kama sisi
Wewe na mm tutakumbushana humu JF urakaokuwa mwisho wa ugomvi huu. mm nakwambia the whole Palestine thing limejengwa kwenye dhana potofu:
1. Hamna state yao pekeyao iliyokuwa Palestine
2. Upalestina huo walijipachika 1964 wakisaidiwa na KGB ya Soviet Union
3. Hiyo Al Aqsa mosque msingi wake ni uongo
4. Dome of the Rock hamna historia yeyote Uislam wala Mohammad; badala yake iliyopo pale ni Historia ya Waisraeli na Mfalme Daudi
5. Vita hii mtashindwa wewe na Nyerere wako na hiyo Hamas, Hezbullah they will be consigned to history. Aidha, huyo Ayatollah wenu wa Iran, ataondoka na Iran kuwa na Serikali isiyo ya Kidini
6. Tunza maneno yangu yakusaidie ktk siku za usoni wakati islam revert back to being a strange thing
Screenshot_20240731-153643_Chrome~2.jpg
 
View attachment 3100238
Wewe Babu zako wasingepigania uhuru mpaka Leo ungekuta unatawaliwa na wazungu inaonekana wewe muoga sana.
 
Bila kujeruhiwa wasingejua hivyo vitu hatari bora wamejua sasa watatengeneza vya kwao Mungu mkubwa kwa kuwa bado yupo hai!
Kwa mantiki hiyo hili ni "kosa lenye bahati" kwao na watasimulia kwa vizazi vyao kwamba usijipime na Myahudi hata siku moja. Chezea kitu kingine ila sio Myahudi.
 
Back
Top Bottom