Balozi wa Kenya aishambulia Russia kwa kuyatambua kama majimbo huru ya Ukraine

Kwa hiyo Ukraine hana haki ya kuchagua upande Kisa yuko jirani na Russia? Ndio fair hiyo?
ukraine ilikuwa sehemu ya Soviet Union, na miongoni mwa mikataba Russia iliyoingia na marekani wakati wa mwisho wa vita baridi ni NATO Kutopanuka katika jamhuri zilizokuwa chini ya ulaya mashariki na hususan zilizokuwa chini ya Soviet union
 
Pia......hata Salim Ahmed Salim ...aliwahi kuipinga USA ....ilivyokuwa inakataa
Kuitambua PRC ( China) Kama nchi mwanachama wa UN .........

Kipind kiti cha China kilikua kinashikiriwa na TAIWAN.....chin ya Chiang kai shek
Rais Ronald Reagan aliishia kuwaita Watanzania monkeys kwa jinsi mlivyokuwa mnarukaruka huko UN mkisherehekea China kupata kiti katika security council
 
Kwa hiyo Ukraine hana haki ya kuchagua upande Kisa yuko jirani na Russia? Ndio fair hiyo?
ukraine ilikuwa sehemu ya Soviet Union, na miongoni mwa mikataba Russia iliyoingia na marekani wakati wa mwisho wa vita baridi ni NATO Kutopanuka katika jamhuri zilizokuwa chini ya ulaya mashariki na hususan zilizokuwa chini ya Soviet union
Rais Ronald Reagan aliishia kuwaita Watanzania monkeys kwa jinsi mlivyokuwa mnarukaruka huko UN mkisherehekea China kupata kiti katika security council
TZ na allies wetu tulikuwa very smart na organized, wakunya na wanaume zenu hamtafua dafu ukraine, any way endeleeni kupiga kelele mtasaidiwa mahindi
 
Mpaka sasa mataifa yaliyounga mkono kwa uwazi utambuzi wa majimbo hayo kuwa ni "huru" ni Venezuela, Cuba, Nicaragua na Syria ya Assad. Bado nasubiri statements za mataifa mengine.

Waingereza wana msemo wao maarufu sana unasema: Birds of a feather flock together!
U communist ni shida na laana kwa ulimwengu huu.
 
Huyo balozi wa Kenya alikuwa hajamaliza chuo kweli wakati Kossovo inamegwa na umegaji huo kufanyika bila UN/US kukemea?

Au Belgrade ilivyovulumishwa mizinga bila kufuata sheria za kimataifa na mauaji yakitekekezeka Yugoslavia ya zamani, balozi huyo alikuwa anaandaa proposal ya dissertation yake?

Hizi 'guts' za balozi zilikosekanaje wakati Libya inaharibiwa territory yake na Mabomu ya NATO bila idhini ya UN?

Nashauri, balozi apitie historia kwanza.
Yeyote kama wewe , mnaoshabikia nchi moja kuivamia nyingine kwa sababu zozote zile ni wafuasi wa u dictator. Ni si shangai kuwa , vijana wengi waliolishwa uzalendo uchwara mnashabikia madhila yanayowakuta wengine. Kisa tu yaliwahi kufanyika huko nyuma.

Ni aibu kwa mTz yeyote kumshabikia Putin huku mkimlaani Idi Amini
 
Tupo pamoja humu Jamvini kwa sababu unashabikia unachokipenda mbali na madhira yake na pia unapenda wanachochukia wengine! Kujenga hoja si kazi nyepesi, jitahidi tu hata kama unavutiwa sana na "attack ya personality".Tuendelee na mjadala, Mkuu.
 
Tunashangaa......sisimizi kumtishia tembo

Kama huna taarifa, ndovu huwaogopa sana sisimizi na panya, ila kinachonishangaza iweje Watanzania ndio wamekereka na hii habari hata kuwazidi hao Warusi, hivi nyie hapo huwa mpo kwenye nini haswa likija suala la kimataifa, maana huwa mpo mpo tu bora liende.
 
Sisi sio vibaraka Kama nyie
 
kenya imeonyesha dhahiri kujikomba kwa ulaya na us, mambo yake mengi ya ndani yamewashinda ikiwamo njaa, mgogoro na somalia, ukabila, ugaidi .....wanaenda kujikomba, njaa mbaya sana
Njaa mbaya Sana mkuu
 
Yeyote kama wewe , mnaoshabikia nchi moja kuivamia nyingine kwa sababu zozote zile ni wafuasi wa u dictator. Ni si shangai kuwa , vijana wengi waliolishwa uzalendo uchwara mnashabikia madhila yanayowakuta wengine. Kisa tu yaliwahi kufanyika huko nyuma.

Ni aibu kwa mTz yeyote kumshabikia Putin huku mkimlaani Idi Amini
Mlikuwa wapi ......wakati Libya. Iraq zinavamiwa
 
Back
Top Bottom