nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,124
- 1,839
ukraine ilikuwa sehemu ya Soviet Union, na miongoni mwa mikataba Russia iliyoingia na marekani wakati wa mwisho wa vita baridi ni NATO Kutopanuka katika jamhuri zilizokuwa chini ya ulaya mashariki na hususan zilizokuwa chini ya Soviet unionKwa hiyo Ukraine hana haki ya kuchagua upande Kisa yuko jirani na Russia? Ndio fair hiyo?