Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

Na nyie madereva wenu hawaingii Tanzania!

Kulingana na wizara ya jumuiya ya Afrika Mashariki, kuna malori 7 yamezuiwa kuingia tz ilhali malori zaidi ya mia moja ishirini kutoka TZ kuelekea Kenya, madereva wake wanangoja kupimwa na GOK.

Mazao yenu yataozea kwenye mpaka
 
For your information Mtanzania hawezi kulia Bali anachukuzwa na unyang'au wenu...Hamna ubinadamu kabisa..mmejaa arrogance za kinyama na ushenzi wa kupitiliza..once nilikuwa katika nchi moja ya Scandinavia nikiwa na Mkenya mmoja...huyo Mkenya akaleta za kuleta kujipendekeza kwa wazungu...Mara Sijui eti nchi yao ni nzuri Mara Sijui they are educated Mara Sijui Tanzania na Zambia Sijui maskkini Mara Sijui we can dominate the whole of Africa ..Mara blah blah...Mimi na Mzambia mmoja tukawa kimya...nikamnong'onoza Mzambia aniachie kuwa huyo ni wangu..nilimpa speech yule Mkenya mbele ya wazungu na I reduced him to nothing plus his country..Hakuongea na Mimi mpaka tunapoondoka ...hata wakati wa matembezi na Milo akawa anajitenga na sisi wengine...stupid Kenyan..
 
Kulingana na wizara ya jumuiya ya Afrika Mashariki, kuna malori 7 yamezuiwa kuingia tz ilhali malori zaidi ya mia moja ishirini kutoka TZ kuelekea Kenya, madereva wake wanangoja kupimwa na GOK.

Mazao yenu yataozea kwenye mpaka
ngoja tuone! Nani anasema ukweli wiki ijayo haipiti Kenyan delegation itakuwa Dodoma! We know how to play with guys! right now mnatuita ndugu wakati jana mlikuwa days before we were unwanted! Just be assured JPM hajaribiwi!

Sirari border is closed also!
 
Once again your comprehension is wanting. He just explained measures taken and no grounds were ceded.

The message in my country is clear, you've to be tested by the Kenyan government liwe liwalo.

Listen to Kenya's health minister.
 
Hii insha yako ndefu hamna aliye na haja nayo ....sisi tutaendelea kujilinda nyinyi endeleeni na hizo povu zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa najiuliza mheshimiwa Adam Malima ambaye ni Regional Commissioner wa Mkoa wa Mara, Tanzania vipi hajatoa neno mpaka leo kuhusu mpaka wake na Kenya. Nadhani aliyebaki ni wa Mkoa wa Arusha.
.
 
Nilikuwa najiuliza mheshimiwa Adam Malima ambaye ni Regional Commissioner wa Mkoa wa Mara, Tanzania vipi hajatoa neno mpaka leo kuhusu mpaka wake na Kenya. Nadhani aliyebaki ni wa Mkoa wa Arusha.
.
mrisho ghambo anasubiri nini ?

uhuru katangaza kufunga mpaka kwa siku 30 wanafki walikaa kimya leo na sisi tumeliamsha dude wanafki wanalalamika.
kila mtu abaki kwao tusiambukizane corona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Once again your comprehension is wanting. He just explained measures taken and no grounds were ceded.

The message in my country is clear, you've to be tested by the Kenyan government liwe liwalo.

Listen to Kenya's health minister.
Hahaha May be you should listen again what Dr. Ojwang amesema kwenye interview na televisheni yenu
 
Ng'weng'we za nini sasa hata siku haijapita! Si mnaenda Ethiopia kuchukua chakula na mmepewa fedha na IMF? Balozi Kazungu kasema Uhuru kasema "haiiangalii Tanzania kama jirani bali ndugu na dada"!
Ukigundua kuna ndugu yako mmoja wa kike ama wa kiume kuna jambo la kiujinga ujinga anafaya, Ni nani unataka amkosoea? Ama amwambie?
 
Wakenya wanajitambua Rais wao hana PhD fake wala mkuu wao wamkoa ajapata zero...labda tulichowazdi sisi tuna Mungu wa Africa anaitwa Mbowe
Heri huyo mewenye hana phd lakini anaweza itwa kikao na marasi wengine naaende.
PHD na kimobo ni Permanent head disorder and it means nothing to him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…