Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nyie madereva wenu hawaingii Tanzania!
For your information Mtanzania hawezi kulia Bali anachukuzwa na unyang'au wenu...Hamna ubinadamu kabisa..mmejaa arrogance za kinyama na ushenzi wa kupitiliza..once nilikuwa katika nchi moja ya Scandinavia nikiwa na Mkenya mmoja...huyo Mkenya akaleta za kuleta kujipendekeza kwa wazungu...Mara Sijui eti nchi yao ni nzuri Mara Sijui they are educated Mara Sijui Tanzania na Zambia Sijui maskkini Mara Sijui we can dominate the whole of Africa ..Mara blah blah...Mimi na Mzambia mmoja tukawa kimya...nikamnong'onoza Mzambia aniachie kuwa huyo ni wangu..nilimpa speech yule Mkenya mbele ya wazungu na I reduced him to nothing plus his country..Hakuongea na Mimi mpaka tunapoondoka ...hata wakati wa matembezi na Milo akawa anajitenga na sisi wengine...stupid Kenyan..Kama serikali yenu ingekua serious hamgehitajika kupimwa mpakani...unakuja tu na certificate kuonesha umepimwa na huna virusi kisha unakubaliwa kupita. Akili zenu nzito hamtaki kuhoji mbna serikali yenu haitaki kucooperate na hizi nchi zingine kwenye hili suala mnataka tu kulia eti kenya inawadhulumu, mara sijui kenya inatumika na mabeberu.
Haya mtabaki kulia hadi siku mtashika akili
Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja tuone! Nani anasema ukweli wiki ijayo haipiti Kenyan delegation itakuwa Dodoma! We know how to play with guys! right now mnatuita ndugu wakati jana mlikuwa days before we were unwanted! Just be assured JPM hajaribiwi!Kulingana na wizara ya jumuiya ya Afrika Mashariki, kuna malori 7 yamezuiwa kuingia tz ilhali malori zaidi ya mia moja ishirini kutoka TZ kuelekea Kenya, madereva wake wanangoja kupimwa na GOK.
Mazao yenu yataozea kwenye mpaka
Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Balozi Kazungu amezungumza na vyombo vya habari ili kuweka mambo sawa. Balozi kazungu amesema...
Rais Kenyatta amenituma hapa, anasema Kenya haiiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu, sisi sio maadui, adui yetu ni corona, ndio maana alikuwa Rais wa kwanza kuingia Chato kumsalimia rais Magufuli, akachukua dhahabu akasema mpelekeeni Magufuli.
Bila hii corona April 26 mwaka huu Kenyatta alipanga aje asherehekee na Watanzania Muungano, alipanga awe na ziara ya muda mrefu hapa TZ kuliko Rais yeyote, uamuzi ambao Kenya imechukua kuhusu safari za mipakani sio kwasababu ya Tanzania bali adui yetu ni kirusi.
Hakuna Mkenya anayemuombea mabaya Mtanzania, Wakenya tunawaombea Watanzania mpigane na janga hili, na sisi pia mtuombee, tusianze kukorogwa na kirusi hiki, tusianze kugongana kisa corona, Watu watulie, Viongozi wetu watakutana na tutalimaliza.
MY TAKE
I mentioned of special emissary/envoy from Kenya will be sent to Tanzania with immediate effect after a border closure by Tanzania...😀😀😀😀
Fungueni border
Kabudi promised to get back after a week! 😀 😀 😀
Sasa katibu kata amjibu huyu balozi! 😀 😀 😀
#Akilizahandshake#
Watakoma kuitaja taja Tanzania kwenye takwimu zao feki za kila siku.
We did this today
We did this today
Hii insha yako ndefu hamna aliye na haja nayo ....sisi tutaendelea kujilinda nyinyi endeleeni na hizo povu zenuFor your information Mtanzania hawezi kulia Bali anachukuzwa na unyang'au wenu...Hamna ubinadamu kabisa..mmejaa arrogance za kinyama na ushenzi wa kupitiliza..once nilikuwa katika nchi moja ya Scandinavia nikiwa na Mkenya mmoja...huyo Mkenya akaleta za kuleta kujipendekeza kwa wazungu...Mara Sijui eti nchi yao ni nzuri Mara Sijui they are educated Mara Sijui Tanzania na Zambia Sijui maskkini Mara Sijui we can dominate the whole of Africa ..Mara blah blah...Mimi na Mzambia mmoja tukawa kimya...nikamnong'onoza Mzambia aniachie kuwa huyo ni wangu..nilimpa speech yule Mkenya mbele ya wazungu na I reduced him to nothing plus his country..Hakuongea na Mimi mpaka tunapoondoka ...hata wakati wa matembezi na Milo akawa anajitenga na sisi wengine...stupid Kenyan..
Nyie korona banah!hahah as if Kenyan drivers don't receive the same treatment!
.19 May 2020
Serikali Mkoani Mara imewaagiza maafisa wa forodha katika kituo cha Sirari mpakani mwa Tanzania na Kenya kuhakikisha madereva wa malori ya mizigo kutoka nchini Kenya hawaingii nchini kupitia mpaka huo bali wafaulishe mizigo yao ili kuendelea na safari kwa kutumia magari mengine
mrisho ghambo anasubiri nini ?Nilikuwa najiuliza mheshimiwa Adam Malima ambaye ni Regional Commissioner wa Mkoa wa Mara, Tanzania vipi hajatoa neno mpaka leo kuhusu mpaka wake na Kenya. Nadhani aliyebaki ni wa Mkoa wa Arusha.
.
Hahaha May be you should listen again what Dr. Ojwang amesema kwenye interview na televisheni yenuOnce again your comprehension is wanting. He just explained measures taken and no grounds were ceded.
The message in my country is clear, you've to be tested by the Kenyan government liwe liwalo.
Listen to Kenya's health minister.
Educate me what blinking is.....all the Ambassador was doing is to clear what the president said because from your media and comments u were taking Ke to have closed borders which is not the caseIt appears Kenya has blinked first
Hivi wewe ni ke au me?
Ukigundua kuna ndugu yako mmoja wa kike ama wa kiume kuna jambo la kiujinga ujinga anafaya, Ni nani unataka amkosoea? Ama amwambie?Ng'weng'we za nini sasa hata siku haijapita! Si mnaenda Ethiopia kuchukua chakula na mmepewa fedha na IMF? Balozi Kazungu kasema Uhuru kasema "haiiangalii Tanzania kama jirani bali ndugu na dada"!
Heri huyo mewenye hana phd lakini anaweza itwa kikao na marasi wengine naaende.Wakenya wanajitambua Rais wao hana PhD fake wala mkuu wao wamkoa ajapata zero...labda tulichowazdi sisi tuna Mungu wa Africa anaitwa Mbowe
Nikose nichekwe?😂😂😂