Aliyewachwa....aliyeachwa
Mtakufa njaa, huko hata 60% mnategemea Tanzania unafikri ni mahindi tu?Mwezi ya sita huu unga wenu tumeukataa, tuizeieni mahindi km hamtaki fyekelea mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka Sana Hilo la kuwekwa kapu moja na Somalia....kwani jamani Somalia mnaionaje??Eti wanatuweka kapu moja ma somali kweli?
Ushauri wangu chadema wasipate hata kiti kimoja kwenye uchaguzi maana hawana msaada wowote kwa taifa. Hivi unasimamaje na adui wa taifa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi? Akina nani??
Mtanuka meno mwaka huuMtakufa njaa, huko hata 60% mnategemea Tanzania unafikri ni mahindi tu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumemtuma babu yenu kuomba pause!Mnajifurahisha, hyo ndio kazi yake..
Lkn mjue mpaka hautafunguliwa na madereva lazima wapimwe..
Uhuru keshafunga kazi kitambo, na nynyi mkitaka fungeni pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mumepima wangapi[emoji23][emoji23]
Insha yote hyo lkn bado sijaona data
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe chizi kweliOoooo!! Sai ndio mnajifanya wakarimu na wakati mkisikia wanajeshi wa ethiopia wamekaribia mpaka wa kenya huaga mnakata mauno kweli na kuliita jeshi letu dhaifu..
Basi mara na nyinyi mumeangukia pua, polisi wa tanzania walitoka nduki baada ya kurusha teargas mbili tatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kenyata alinikera sana!Nimecheka Sana Hilo la kuwekwa kapu moja na Somalia....kwani jamani Somalia mnaionaje??
Kenya ni wahuni na washenzi....wamefanya swab kwa dereva Mtanzania mpaka amepata kizunguzungu ...shenzi kabisa...hakuna hata diplomatic language katika kuchukua vipimo..Mbna uganda na rwanda wanafanya tu hivi?? Tofauti ipo wapi kati ya inachokifanya kenya na uganda,rwanda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Ndugu unanivunja mbavu hapa...Mkuu Kenyata alinikera sana!
Eti kabisa mtu anasoma kwenye media tumepigwa ban sisi na somalia huko kenya!
Sent using Jamii Forums mobile app