Maendeleo ya Watu, si vitu haaaa haaaa
Hahaha Magufuli ana kimbia, huu ni muda wa kampeni yeye ndiye mgombea alipaswa aonekane huko.
ITV aliongea Bashiru, kwa balozi anaenda Bashiru yeye anaogopa nini?!
Kwanini asiende Polepole ndiye msemaji wa ccm?!
Duh...sijui umefika darasa la ngapi wewe...hiyo ni shida kwa hakika uelewa wa mambo na hata elimu yako...mtu unaweza ukawa huna elimu lakini ukawa na uelewa wa issues, busara na hekima...wewe umekosa vyote...hu
na elimu...huna uelewa wa mambo...huna busara...huna hekima....
Magufuli ni Rais wa nchi, ni Head of state...na commander in chief of the armed forces...Rais Magufuli hawezi kwenda kwa Balozi...ila Balozi ndiye inabidi aombe Kama anataka kumuona na apangiwe muda...Balozi ataomba aonane na mtu mwingine akitaka...na Sasa ameomba akutane na Dk. Bashiru na amempa muda wa kuongea naye...
Usimchukulie Rais kuwa sawa na Lissu wenu...wako tofauti kabisa...usimchukulie Magufuli kuwa sawa na Balozi wa nyumba kumi...
Kuandika hapa kuwa eti Magufuli anakimbia ni kielelezo Cha uwezo wako mdogo na wa chini kabisa kuhusu uelewa wa issues mbalimbali...
Kama ilikuwa huelewi nchi zote duniani ikiwemo Marekani zinajua Magufuli atashinda Urais ...mpaka Sasa projections intelligence sources mbalimbali kuhusu ushindi wa JPM ni between 75 percent to 86 percent..
CIA wanaijua hivyo...Mosad wanajua hivyo..MI5 wanajua hivyo.
Lissu mwenyewe anajua hivyo...Beberu Amsterdam naye anajua hivyo
Ila kinachifanyika Sasa na akina Amsterdam, Lissu na vibaraka is just to create fear and Tanzanians ionekane kuwa pengine Lissu ana wafuasi wengi...
Mitego yote waliyotega mabeberu ili ionekane serikali ni wabaya imeteguliwa so far...yamebaki matukio madogo madogo ya kutengenezwa...sijui ya boat huko ukerewe, mawe huko Chato na kadhalika...