Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
makengeza angekuwa hajakula hela ya sabodo ile milioni mia sasa hivi hiyo ndiyo ingekuwa ofisi ya chadema lakini jamaa mrafi sana aisee
angekuwa mwamba wa siasa angekuwa ikulu sasa mtu yuko anapiga kelele tu mitaani unasema mwamba wa siasa utakuwa masikini wa fikira kabisa weweMbowe mwamba wa siasa Tanzania. Chattle gang wakiona hivi inawauma sana 😂
utegemee ujinga kama wa anayewaongoza kama kina ErythrocyteCDM wataona mwenyekiti wao kama kakutana na Yesu vile kwa ujinga walionao. If Div 0 leads others, what do you expect from his followers?
Labda umesahau....Wamarekani walikiita chama cha ANC cha kigaidi na kiongozi wake Mandela gaidi.....Unaota? Ni lini US ilimwita Mandela gaidi? Au kwako wewe kila aliye na ngozi nyeue ni Mmarekani?
Ile ilikuwa ni sifa mojawapo ya mkoloni na kabaila ya kusingizia watu.Ikiwa walimuita hayati Mandela gaidi na wakachangamana naye baadae....itashindikana kwa yeyote mwingine?!!!!
Jifunze THESIS +ANTI-THESIS = SYNTHESIS
#Siempre JMT🙏
😲😲🤣🤣Hongereni sana kwani mmedhaminiwa na Taifa kubwa Duniani
Upinzani mzuri ulikuwa kipindi cha DR Slaa ulikuwa upinzani wenye hoja
Matamanio Urudi kama ule
Hoja zilikuwa zinashushwa za uhakika na takwimu juu hadi Lowasa aliachia ngazi uwaziri mkuu
KUBADILISHA gia angani.....UVCC wanasemaje kuhusu hii taarifa?
Ningeshangaa kama asingekwenda kwa beberu kusalimia.
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald J. Wright, leo Aprili 11, 2022 amepost picha akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe kisha akaandika:
“Ni jambo zuri kukutana na Freeman Mbowe asubuhi ya leo. Upinzani mahiri wa kisiasa ni jambo jema kwa afya ya demokrasia, na demokrasia yenye afya inaruhusu maoni tofautitofauti. Ninaendelea kufanya kazi na wadau wote ili kupanua ushiriki wa kisiasa.”
==============
“Great to meet with @freemanmbowet this morning. A vibrant political opposition is critical to a healthy democracy, and a healthy democracy allows for many differing views. I remain committed to working with all stakeholders to expand the space for political participation.”
Hii ndio historia mnayosoma hapa shule yenu ya viongozi?.Ikiwa walimuita hayati Mandela gaidi na wakachangamana naye baadae....itashindikana kwa yeyote mwingine?!!!!
Jifunze THESIS +ANTI-THESIS = SYNTHESIS
#Siempre JMT🙏
Yote yanatokana na nini ?Angalau kwa USA Mbowe anaweza kuwa mtu sahihi kwenye kazi yao, maana walishagundua TL sio mtu sahihi kwao kutokana na kuwa na uwezo mdogo kiakili na kukosa exposure ya kidunia...
Mbowe amemzidi mbali sana kiakili TL, pamoja na TL kuwa amesoma sana kuliko Mbowe... hapa ndio utaona utofauti wa akili za darasani na akili za mtaani, Mbowe ni mtoto wa kitaa mwenye exposure ya mtaa duniani kote + kuwa kijana Saigoni.