Balozi wa Marekani akutana na Mbowe, asema upinzani imara ni afya ya demokrasia

Balozi wa Marekani akutana na Mbowe, asema upinzani imara ni afya ya demokrasia

hawana barakoa au Corona iliuwawa kwenye vita ya Rusia na Ukreine?
Corona ili mlenga yule jamaa aliyeamini ushirikina badala ya science (Jiwe). Jiulize baada ya Jiwe kudondoka nani mwingine alikufa kwa corona
 
View attachment 2183886
yaani chadomo waliona ni kitu cha kifahari sana kwa huyo balozi kukutana na mbowe kumbe hata ccm kakutana nao hapo naona Erythrocyte angeanza kusema hawezi kukutana na ccm kwakuwa hawana democrasia chadomo wanapenda promo kama watoto ndiyo maana mbowe anawapiga hela sana kila siku michango
Unateseka ukiwa wapi mkuu? Wanachanga kwa hiari yao wewe huko uliko roho inakuuma. Ukisikia ushirikina ndiyo huo sasa. Kama umeumia sana basi na wewe changisha
 
Balozi Wright leo asubuhi amekutana na kiongozi wa Chadema @freemanmbowetz. Balozi alisema kuwa upinzani imara wa kisiasa ni muhimu kwa afya ya demokrasia. Alielezea tena azma ya dhati ya Marekani kufanya kazi na wadau wote kupanua nafasi ya ushiriki katika siasa.

View attachment 2183912
Huyu si walisema amemaliza muda wake?
Mbowe mwambie kuwa USA isaidie vyama vya upinzani kujiimrisha kwa haki kufanya siasa
 
Back
Top Bottom