SINGLE WINDOW
JF-Expert Member
- Sep 2, 2021
- 356
- 278
Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald J. Wright, leo Aprili 11, 2022 amepost picha akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe kisha akaandika:
“Ni jambo zuri kukutana na Freeman Mbowe asubuhi ya leo. Upinzani mahiri wa kisiasa ni jambo jema kwa afya ya demokrasia, na demokrasia yenye afya inaruhusu maoni tofautitofauti. Ninaendelea kufanya kazi na wadau wote ili kupanua ushiriki wa kisiasa.”
==============
“Great to meet with @freemanmbowet this morning. A vibrant political opposition is critical to a healthy democracy, and a healthy democracy allows for many differing views. I remain committed to working with all stakeholders to expand the space for political participation.”
yaani chadomo waliona ni kitu cha kifahari sana kwa huyo balozi kukutana na mbowe kumbe hata ccm kakutana nao hapo naona Erythrocyte angeanza kusema hawezi kukutana na ccm kwakuwa hawana democrasia chadomo wanapenda promo kama watoto ndiyo maana mbowe anawapiga hela sana kila siku michango